Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Okay nitafanya hivyo si unajua sharing is caring hayo maujuzi...umeniacha mbali hiyo ''kadinga'' ndiyo maana gani?? usinicheke kuuliza, lol!!
Ooops ni kadingi....kuuliza si ujinga tena umenifanya nigundue kosa. Otherwise weekend njema...ngoja nikarambe ngano ndo muda wake huu