BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
- Thread starter
- #61
Kwani wewe sio mgumu kukasirika ukigundua kuna watu wamekuzidi? Kuna mtu aliniambia kuwa kama mdada amekwambia amekuota ujue anakuzimia...huyu mwanaume mwenzangu lazima anune...itabidi ufanye kazi ya ziada leo asitafute pakutolea maumivu.
Balanced figure ndio ugonjwa wangu...mi sitaki vifurushi vikubwa nyuma kama naenda kuchoma mishikaki eti kwasababu ni mwanaume wa kiafrika...no way..akhuuu
Mie si mgumu nakubali kuzidiwa na ofkozi kuna niliowazidi vilevile..acha nijipaishe mie ha ha
Nadhani kumuangalia hii picha na movies pia series ya private practice ilinifanya nimuote no.12..!
Kumbe nawe ni mzee wa balanced figure basi una taste nzuri ukizingatia na kifua umejaaliwa, mashallah!!!