Just fill the blanks: Walipoamka. . . . . .

Walikadiriwa wapo asilimia kumi na ngapi vile?

0.001 kwa bara kwani ilikuja kujulikana idadi yao kubwa ni mamluki ambao ni bendera fata upepo na visiwani walikuwa 90% kati ya watu milioni 2.5
 
0.001 kwa bara kwani ilikuja kujulikana idadi yao kubwa ni mamluki ambao ni bendera fata upepo na visiwani walikuwa 90% kati ya watu milioni 2.5

Loh, mimi is liking zis
 
wakamshukuru Mungu, kwa kuwalaza unono na wakamuomba awaepushe na wenye hila wote
 
BADILI TABIA, je tupo wangapi?
swali hili nimelileta kwako kwa hisani ya Takieds (TACAIDS)

uko peke yako, halafu hatuwahitaji takieds ujue? Ukinikubali tu,tutaenda kupima malaria, then tuanze kucheza kikubwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom