Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,479
Hawezi kufanikiwa, anapoteza muda kijizeesha bure kwa kunenepeana kama..........Hahaha kuna moja alikuwa anazunguzukia media za mabeberu kuichafua Tanzania
Je alifanikiwa?
SwadaktaUmoja wa ulaya ushughulikie kwanza tatizo la ushoga kwenye bara lao ndio waje watufundishe jinsi ya kuchagua
Nimecheka sana kuona india na waarabu kwenye listi.China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
TendeWaarabu wamekusaidia nini wewe punguani?
Kuweweseka ndio jadi ya wenye ulozi wa kurithishwaHalo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.
Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.
Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.
Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
Sahau huu ujinga...hawafanyi.Halo JF siasa.

Umoja wa ulaya ushughulikie kwanza tatizo la ushoga kwenye bara lao ndio waje watufundishe jinsi ya kuchagua
Fuatilia vizuri kwenye mipango madhubuti ya maendeleo, nchi za kusini magharibi mwa Asia zimetusaidia nini. Anza na Qatar, Iran, Saudi Arabia, Kuwait, Lebanon, Bahrain, Emirates nkWaarabu wamekusaidia nini wewe punguani?
Mungu wabariki WazunguHahaha kuna moja alikuwa anazunguzukia media za mabeberu kuichafua Tanzania
Je alifanikiwa?
Hakitokei chochote japo watamani kuona hivyo.2020 kuna jambo linakwenda kutokea kama uhuni huu utaendelea kulindwa.. Ni hatari sana kwa wenye madaraka kudharau mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja.
Na Africa piaMungu wabariki Wazungu
Mwanaume wa shoka hatishwi na wazibuliwa mitaroUshoga ndo unafanya Jiwe aogope uchaguzi?
Ohhh wametumwa na mabeberu. Kumbe wanao watuma mabeberu ni Ccm na vitendo vyao visivyo vya kidemokrasiaHahaha kuna moja alikuwa anazunguzukia media za mabeberu kuichafua Tanzania
Je alifanikiwa?