Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,198
6,416
Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.

Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.

Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.

Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.
 
Kuweweseka ndio jadi ya wenye ulozi wa kurithishwa
 
Sahau huu ujinga...hawafanyi.
 
Waarabu wamekusaidia nini wewe punguani?
Fuatilia vizuri kwenye mipango madhubuti ya maendeleo, nchi za kusini magharibi mwa Asia zimetusaidia nini. Anza na Qatar, Iran, Saudi Arabia, Kuwait, Lebanon, Bahrain, Emirates nk
 
2020 kuna jambo linakwenda kutokea kama uhuni huu utaendelea kulindwa.. Ni hatari sana kwa wenye madaraka kudharau mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja.
Hakitokei chochote japo watamani kuona hivyo.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom