Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

Ni hivi, jiwe ndio anayeharibu chaguzi ili kuhadaa umma kuwa yeye na ccm wanakubalika, ila kiukweli ni mtu anayejiandaa kuingiza nchi hii kwenye machafuko.
Hivi anayesusa na anayeshiriki nani anatafuta machafuko?
 
Porojo tupu, tumia akili upande wenu baada ya upinzani kujitoa nini wame-react, kama ni sukuma kanyaga twende mbona hamfurahii kushinda vijiji na kata zote bila kupingwa?

Tumia akili japo za kuazima ili ujue hali halisi ya huko ndani, kwanini Jafo analazimisha majina yatakuwepo kwenye ballot paper ata wakijiengua? hamuko salama kiivyo.
Changia kwa busara ndugu acha kunitusi basi
 
Hivi anayesusa na anayeshiriki nani anatafuta machafuko?

Kususa ni machafuko? Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kushiriki ushenzi wa aina hiyo. Anayeharibu chaguzi zetu anafahamika. Hata historia inaonyesha alikuwa hashindi uchaguzi kwa kura bali kwa mbinu chafu, na hiyo tabia yake sasa kaileta kwenye uchaguzi wa nchi nzima kupitia madaraka yake.
 
Vp kama ikitokea Jumuiya ya Ulaya na jumuiya nyingine za kimataifa zikatoa tamko la kumpongeza Mzee Meko kwa ununuzi wa madreamlaina kwa kulipa cash, kutakuwa na tatizo?

Things comes in pairs.
Hate for love
Day n night.

Hivyo hivyo kusifiwa na kukosolewa.
 
Nimecheka sana kuona india na waarabu kwenye listi.
Wanao mchango wao mkubwa hasa katika suala la elimu. Vitabu mashuleni na vifaa vya kufundishia ni kutoka kwao moja kwa moja au fedha za kuwezesha hayo.

Utawadharau endapo origin mzima ya familia imesoma IST lakini kama hata mtu mmoja alisoma Private school nyingine huna budi kuwapatia shukrani.
 
Fuatilia vizuri kwenye mipango madhubuti ya maendeleo, nchi za kusini magharibi mwa Asia zimetusaidia nini. Anza na Qatar, Iran, Saudi Arabia, Kuwait, Lebanon, Bahrain, Emirates nk
Walitusaidia kutupa nafasi ya Hijra, ni hvyo navyokumbuka
 
Wanao mchango wao mkubwa hasa katika suala la elimu. Vitabu mashuleni na vifaa vya kufundishia ni kutoka kwao moja kwa moja au fedha za kuwezesha hayo.

Utawadharau endapo origin mzima ya familia imesoma IST lakini kama hata mtu mmoja alisoma Private school nyingine huna budi kuwapatia shukrani.
Wahindi wanatupa Condom bure kupitia TFDA kutengo cha propaganda cha HIV
 
Hahaha kuna moja alikuwa anazunguzukia media za mabeberu kuichafua Tanzania

Je alifanikiwa?
Nchi inachafukaje? Athar za kuchafuka kwa nchi unazijua? Kwa taarifa yako haya makaburu walijenga kila kitu kama hayo Maleri lakini walichafuliwa kwa matendo ya kipuuzi kama anavyofanya Hugo kichaa
aliuza nyumba za umma kwa hawala zake na nduguze, anajifungia ndani na watengeneza ndege na kuagiza azitakazo we unajua 10% take no shilingi ngapi au mnadhani Hugo malaika?/mbona haya mile kivuko kibovu kilinunuliwa akiwa wazir na sasa kipo jeshini ? Mbona alijenga hotel I kulee. Chato na kujenga uwanja wa ndege na mbuga ili hotel I ipate wateja
 
Hao "mabeberu" au " washirka" wa maendeleo watachukua hatua siku maslahi yao yakiguswa.
Hata Jiwe aue wangapi, atese wangapi, kama atakuwa hakwamishi mambo yao, hakuna chochote kitaendelea hadi Watanzania waseme inatosha.
 
Bora kuandika ugoro kuliko kufikiri ujinga nioneshe ugoro wangu nawe nitakuonesha ujinga kwenye vimipasho vyako unavyoandika kutwa kucha humu
Pumba zako hizi hapa mkui

Yani mnaandika upuuzi,uwongo na uzandiki

Ungekuwa karibu yangu ungechezea vibao ya kutosha kwa sababu ni hopeless
Nchi inachafukaje? Athar za kuchafuka kwa nchi unazijua? Kwa taarifa yako haya makaburu walijenga kila kitu kama hayo Maleri lakini walichafuliwa kwa matendo ya kipuuzi kama anavyofanya Hugo kichaa
aliuza nyumba za umma kwa hawala zake na nduguze, anajifungia ndani na watengeneza ndege na kuagiza azitakazo we unajua 10% take no shilingi ngapi au mnadhani Hugo malaika?/mbona haya mile kivuko kibovu kilinunuliwa akiwa wazir na sasa kipo jeshini ? Mbona alijenga hotel I kulee. Chato na kujenga uwanja wa ndege na mbuga ili hotel I ipate wateja
 
Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya kuniambia naisubiri tamko lao muda wowote. Hata hivyo chanzo kimetaja jumuiya ya ulaya moja kwa moja kuwa itakuwa ya kwanza kulaani kusiginwa kwa demkrasia nchini.

Naona Tundu Lisu huko alipo Brussels Ubelgiji anataka kutuchonganisha na Mabeberu. Ikumbukwe Brussels ni makao makuu ya EU na huko ndipo mdiaspora Lisu asiyeipenda asiyeitakia nchi hii mazuri anaokoishi kwa sasa.

Pia Lisu amekuwa akitunanga kupitia mataifa makubwa hivyo sishangai hata hao mabalozi uchwara wakiandaliwa cha kusema na mtu kama huyu.
China, Russia, India, chi za kiarabu bado ni wadau wetu wakubwa wa maendeleo.

Mabeberu/Boers tupa kuleeeeeeeee.
Magufuli kanyaga twende baba.

Endelea kukenua meno tu! Kesho utakenua mapengo, tuone kama unaweza kujosofu kama leo!
 
Back
Top Bottom