ila unaniova doseMerelax hun
we umemaliza ngapi??Uzuri riwaya zipo hum hum ukimaliza moja utasoma ingine ntakua sikutag bas babe
Nashukuru madame. Nilipitia kidogo na kwa kusoma tu sentensi mbili au tatu za mwanzoni zinatosha kukujuza kuwa mtu huyu anajua ama lah! Mfano mtu akianza na maneno haya, "ilisikika" "ilionekana" n.k huwa naacha hapo hapo!Ni heshima mtu kama wewe kuja kusoma vitu kama hizi mepost humu, asante kwa kupita kaka, story ingine lini