Jumba la makumbusho ya Bob Marley (Bob Marley Museum)

Jumba la makumbusho ya Bob Marley (Bob Marley Museum)

1740146661512.jpg
 
Kingston town huko mjani ni ruksaa😂
Tupatie na historia yake tangu kuanza muziki (natural mystic & no woman no cry, kuoa, ushirikina, kutokua na uwezo wa uzao mpaka kupata mtoto, kuongeza mke hadi kifo chenye utata
Maana tunasikia mengi
 
Tupatie na historia yake tangu kuanza muziki (natural mystic & no woman no cry, kuoa, ushirikina, kutokua na uwezo wa uzao mpaka kupata mtoto, kuongeza mke hadi kifo chenye utata
Maana tunasikia mengi
Kuna audio autograph yake km mvivu wa kusoma
 
Silence is a place of great power and healing.

#bobmarley #roots #reggaemusic
FB_IMG_1740269461783.jpg
 
“Take care of what is yours, let go of what hurts you, fight for what you want, appreciate what you already have, forgive those who have hurt you, and cherish those who love you.” Life is too short to be filled with resentment. It's better to fill it with love because, in the end, that's all that really matters.

Bob Marley 💚💛❤️
Jah bleeeess
1742690685448.jpg
 
Wenzetu kazi zao za sanaa zilikuwa zinawalipa vizuri toka enzi hizo, jumba zuri kabisa.
 
Jinsi Bob Marley Alivyorekodi Wimbo Wake wa Kwanza: Producer Aliyemfanya Kuwa Yule LEO

Safari ya Bob Marley kutengeneza wimbo wake wa kwanza ilianza katika kijiji kidogo cha Nine Mile, Jamaika, ambako alizaliwa mwaka wa 1945. Alikua katika mtaa mgumu wa Kingston's Trenchtown, Marley alizungukwa na muziki, hasa sauti za ska na rhythm na blues zilizojaa mitaani. Akihamasishwa na wasanii wa Marekani kama Ray Charles na Curtis Mayfield, pamoja na muziki wa ndani wa Jamaika, alikuza upendo mkubwa wa kuimba na kuandika nyimbo.

Hatua za kwanza za Marley kwenye muziki zilikuwa pamoja na rafiki yake wa utotoni Neville "Bunny" Livingston (baadaye Bunny Wailer). Wawili hao wangefanya mazoezi ya pamoja na...........Soma Zaidi How Bob Marley Recorded His First Song: A Producer Was His Savior
FB_IMG_1742766162060.jpg
 
Bob Marley’s Redemption Song was one of his last recorded tracks, inspired by a speech from Marcus Garvey.🕊️🕊️🕊️🕊️
1742838045084.jpg
 
Back
Top Bottom