It was a weekend episode hii.Hii story umeshakosa maana,naona unahaha ili iendelee kuwa relevant.
Hahahaaaa pole mkuu!Nilichogundua mtoa mada una roho mbaya au unamwonea wivu makamba au kwa alikil yko fupi unadhan kufukuza tu ndo utendaji bora
Staki kuaminiMange na huyo muitaliano washapewa chao juu kwa juu
Mange ameongeza followers, ni nzuri kwa biashara.Mange Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wiki nzima patakuwa hapakaliki kwa familia hii. Ila it's time jamani wawekwe kando. Ndio waharibifu wa chama pia.Ngoma Inogile,![]()
![]()
ninadhani JM kakosea kumlipa Muitliano, alichofanya sasa ni kumnyamazisha asimwage ushahidi zaidi, jamaa angejiuliza kwanza ushahidi mwingine atakaoleta muitaliano utaibua kashfa mpya au ile ile, bila shaka jibu lingekuwa Kashfa ile ile. Kwa vile hii kashfa tayari ni well known hakukuwa na sababu ya kujaribu kuizima kwa kumlipa Muitaliano pesa zake. Ninaona ni kosa kumlipa yule Jamaa kwa sababu hii Kashfa imeshafika Mbali JM hana namna atachomoa sasa kama unapoteza kazi kwanini ulipe tena mapesa? Si bora angekomaa tu, liwalo na Liwe, apoteze kazi abaki na hayo Madola.
1. Kumbe pesa alikuwa nayo kwanini hakumrudishia jamaa pesa yake muda mrefu (KOSA)
2. Aliposikia anatuhumiwa kwanini alikimbilia kujibu angekauka mpaka saa hizi kusingekuwa na uthibitisho wa ushiriki wake (KOSA)
3. Mfuko wa Ushirika Bumbuli unakaguliwa mahesabu yake? Ni nani wanauchangia kwa interest gani walizo nazo na Bumbuli. Kama hakuna statement inayoweza kumclear kuwa hajapitisha pesa chafu huko mfuko utakuwa sehemu ya kumuangamiza
4. Mambo ya Dada Mwamy yalipaswa yaongelewe na Mwammy na mambo ya Kaka Jan yaongelewe na Kaka Jan, kila mtu kujaribu kuongea mambo ya wote wawili wamejikuta wanajichanganya na kuleta hisia zaidi (KOSA)
5. Maandishi ya Muitaliano yameacha mashaka mengi kuliko majibu, bor asingejibu kwa maandishi angejibu kwa mdomo mbele ya watu kadhaa committed alafu hao watu wasimame kumtetea makamba.
Tunaangalia saa zetu, wiki itaisha kweli kwa mshikaji???
Hili nalo ni kanusho jipya, nilidhani awamu hii ya tano ili uonekane mtendaji na mchapa kazi sharti utimue mtu au kuwafungia wenzako mageti.........anyway ngoja tuone mwisho wa hii tamthilia.Nilichogundua mtoa mada una roho mbaya au unamwonea wivu makamba au kwa alikil yko fupi unadhan kufukuza tu ndo utendaji bora
sidhani kama uwaziri sasa ndo kila kitu,tena umekuwa moto maana vichwa ngumu kina lisu ,mnyika wanakusubiri bungeni kukusulubu,huku mitandaoni napo wanakusulubu yaani ni mateso tu,kama una hela yako fanya biashara tafuta hela,mbona kina warren buffet sio mawaziri na wanaishi vizuri.Sekunde, dakika na saa zinakwenda.....wacha tusubiri,,,,,,,yetu masikio,,,,,,,
,,,,,,,,loading.........
Wasingejibu yeye na dadake statement ya Mutaliano ingewaponya...
Tatizo kwenye utetezi wao wamekiri kiaina...
Waombe Mungu tu Magu asiwe anasoma mitandao...
Maana magazeti yamekauka
Saa hivi atakuwa mwili uko ofisini akili iko kijijini kwao Bumbuli. Siasa bwana kiboko.Ngoma Inogile,![]()
![]()
ninadhani JM kakosea kumlipa Muitliano, alichofanya sasa ni kumnyamazisha asimwage ushahidi zaidi, jamaa angejiuliza kwanza ushahidi mwingine atakaoleta muitaliano utaibua kashfa mpya au ile ile, bila shaka jibu lingekuwa Kashfa ile ile. Kwa vile hii kashfa tayari ni well known hakukuwa na sababu ya kujaribu kuizima kwa kumlipa Muitaliano pesa zake. Ninaona ni kosa kumlipa yule Jamaa kwa sababu hii Kashfa imeshafika Mbali JM hana namna atachomoa sasa kama unapoteza kazi kwanini ulipe tena mapesa? Si bora angekomaa tu, liwalo na Liwe, apoteze kazi abaki na hayo Madola.
1. Kumbe pesa alikuwa nayo kwanini hakumrudishia jamaa pesa yake muda mrefu (KOSA)
2. Aliposikia anatuhumiwa kwanini alikimbilia kujibu angekauka mpaka saa hizi kusingekuwa na uthibitisho wa ushiriki wake (KOSA)
3. Mfuko wa Ushirika Bumbuli unakaguliwa mahesabu yake? Ni nani wanauchangia kwa interest gani walizo nazo na Bumbuli. Kama hakuna statement inayoweza kumclear kuwa hajapitisha pesa chafu huko mfuko utakuwa sehemu ya kumuangamiza
4. Mambo ya Dada Mwamy yalipaswa yaongelewe na Mwammy na mambo ya Kaka Jan yaongelewe na Kaka Jan, kila mtu kujaribu kuongea mambo ya wote wawili wamejikuta wanajichanganya na kuleta hisia zaidi (KOSA)
5. Maandishi ya Muitaliano yameacha mashaka mengi kuliko majibu, bor asingejibu kwa maandishi angejibu kwa mdomo mbele ya watu kadhaa committed alafu hao watu wasimame kumtetea makamba.
Tunaangalia saa zetu, wiki itaisha kweli kwa mshikaji???
Sawa ndio maana hata kwa Sefue hakukuwa na hoja yeyote kwenye ile habari ya gazeti la DIRA, huwa mnajivua akili kwa kushabikia na kupinga mambo huku mkitetea hao mabwana zenu lakini mwisho wa siku mnaumbuka, ingekuwa vema kama mngekuwa mnakaa kimya kuliko kujivua akili kwa kutetea ujinga.Hakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.
Hakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.