Hahahaha, umenichekesha sanahuyu jamaa ni shidaa akae pembeni majukumu aliyonayo insta na bumbuli ni makubwa mno!
Hahahaha, umenichekesha sanahuyu jamaa ni shidaa akae pembeni majukumu aliyonayo insta na bumbuli ni makubwa mno!
Kama walivyokuza ya Sefue.Acheni kukuza visivyo kuzwa
Kama kuna siku mbaya katika historia ya dini ya kikristo ni siku ya Ijumaa kuu, Petro hakuamini kama Yesu anaweza kukamatwa na akateswa, tena akauawa bila muujiza wowote wa kujiokoa kutokea. Lakini hayo yote yaliendelea mbele ya macho yake.
Siku ya leo kwa January itakuwa masaa 12 kama miaka 12, kutumbuliwa kwa Sefue kumemfanya apoteze confidence kabisa, hakuamini kama imetokea, Jana kama amelala sina uhakika lakini taarifa za kiintelijensia zimenasa ushahidi kuwa alikuwa akihaha kujipanga namna ya kujinasua kwa kufanya vikao mbalimbali na confidant wake usiku kucha.
Kanusho la muitaliano limeonekana kuchafua hali ya hewa zaidi, hasa ukizingatia jamaa alishajichanganya na kukubali kuchangiwa mipesa na huyo bwana. Sasa leo ndo Ijumaa kuu yake, usiulize kwanini, nachokuahidi kaa mkao wa kushtuka kwa taarifa ya kurugenzi ya habari magogoni.
Jumatatu hii ni ogofya kwa kijana wenu huyu, muitaliano katika hali ya kushangaza jana kaanza kulipa madeni yake pale hotelini, Pesa katoa wapi, mimi sijui.
Ngoma Inogile,![]()
![]()
ninadhani JM kakosea kumlipa Muitliano, alichofanya sasa ni kumnyamazisha asimwage ushahidi zaidi, jamaa angejiuliza kwanza ushahidi mwingine atakaoleta muitaliano utaibua kashfa mpya au ile ile, bila shaka jibu lingekuwa Kashfa ile ile. Kwa vile hii kashfa tayari ni well known hakukuwa na sababu ya kujaribu kuizima kwa kumlipa Muitaliano pesa zake. Ninaona ni kosa kumlipa yule Jamaa kwa sababu hii Kashfa imeshafika Mbali JM hana namna atachomoa sasa kama unapoteza kazi kwanini ulipe tena mapesa? Si bora angekomaa tu, liwalo na Liwe, apoteze kazi abaki na hayo Madola.
1. Kumbe pesa alikuwa nayo kwanini hakumrudishia jamaa pesa yake muda mrefu (KOSA)
2. Aliposikia anatuhumiwa kwanini alikimbilia kujibu angekauka mpaka saa hizi kusingekuwa na uthibitisho wa ushiriki wake (KOSA)
3. Mfuko wa Ushirika Bumbuli unakaguliwa mahesabu yake? Ni nani wanauchangia kwa interest gani walizo nazo na Bumbuli. Kama hakuna statement inayoweza kumclear kuwa hajapitisha pesa chafu huko mfuko utakuwa sehemu ya kumuangamiza
4. Mambo ya Dada Mwamy yalipaswa yaongelewe na Mwammy na mambo ya Kaka Jan yaongelewe na Kaka Jan, kila mtu kujaribu kuongea mambo ya wote wawili wamejikuta wanajichanganya na kuleta hisia zaidi (KOSA)
5. Maandishi ya Muitaliano yameacha mashaka mengi kuliko majibu, bor asingejibu kwa maandishi angejibu kwa mdomo mbele ya watu kadhaa committed alafu hao watu wasimame kumtetea makamba.
Tunaangalia saa zetu, wiki itaisha kweli kwa mshikaji???
we utakubari kuingizwaa tu kwa sababu ya dadako; rafiki yako?? Kwa taarifa yako deal zote za hao wakuu huwa zinaenda kimtindo huo ili ikitokea soo basi kuwepo na namna ya kujitetea kama unavyofanya sasa. hakuna kupokea pesa directly lazima ipitie kwa mtu wa karibu tena anayehaminika. Ukimpa directly hawapokeagi. Ndio mana utaona mkuu alietoka mwanae kawa tajiri enzi zake mara anamiliki ...... stail ndo hiyo!Hakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.
Hakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.
Dada ya nani? ya January! kwa JPJM January hayuko salama kwa sababu dada yake ametumia nafasi ya kaka kujinufaisha na kuna likelihood kuwa january pia kanufaika! La msingi ni kuwa muitaliano pia achukuliwe hatua!Hakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.
Muitaliano achukuliwe hatua? kwa kutuiburia fisadi! hapana hasingejitokeza lazima alishinikizwa kutoa mlungula na hapo ndio pona yake. kaka kakili kupokea utamu . kiongozi unapokea mapesa hiv hiv.Dada ya nani? ya January! kwa JPJM January hayuko salama kwa sababu dada yake ametumia nafasi ya kaka kujinufaisha na kuna likelihood kuwa january pia kanufaika! La msingi ni kuwa muitaliano pia achukuliwe hatua!
big issue upendeleo wa uwekezaj bagamoyo harbour shida ipohapoHakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.
hata sefue ulimteteaHakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.
Mkuu mimi nashindwa kabisa Watz wenzangu, mtu anafurahia na kupanga leo fulani anafukuzwa kwa ushahidi eti wa dada mmoja kaandika instagram! Tanzania bado inasafari ndefu sana, hata sisi Wananchi ni tatizo ila hatujajua tu. Mimi naomba mipaka ya Afrika Mashariki ifunguliwe katika nyanja zote ili tuamshwe. Usishangae wanaofanya upuuzi ukakuta ni Bachelor holder yupo mtaani analaumu hakuna ajira. Kwa uwezo huo wa kufikiri lazima kila kitu uone ni giza tu.muhongo mmemchafua lakini wapi...serikali haiendeshwi kwa upuuzi wa mitandaoni
Lumumba buku 7 wako kazini wanalinda ajira zao...Hivi hauoni aibu mtu mzima unavyojiua nguo hadharani?
Ha ha ha ha mkuu unataka na dada nae akalale selo...Nadhani kanuni izingatiwe Pythagoras Kama mwanza na kwingineko.... makamba na mwamvita wakalale stakishari uchunguzi uendelee
Nilichogundua mtoa mada una roho mbaya au unamwonea wivu makamba au kwa alikil yko fupi unadhan kufukuza tu ndo utendaji bora
Mkuu Yesu angeweza kujiokoa pale msalabani ila aliuvaa ubinadamu ili unabii utimieKama kuna siku mbaya katika historia ya dini ya kikristo ni siku ya Ijumaa kuu, Petro hakuamini kama Yesu anaweza kukamatwa na akateswa, tena akauawa bila muujiza wowote wa kujiokoa kutokea. Lakini hayo yote yaliendelea mbele ya macho yake.
Siku ya leo kwa January itakuwa masaa 12 kama miaka 12, kutumbuliwa kwa Sefue kumemfanya apoteze confidence kabisa, hakuamini kama imetokea, Jana kama amelala sina uhakika lakini taarifa za kiintelijensia zimenasa ushahidi kuwa alikuwa akihaha kujipanga namna ya kujinasua kwa kufanya vikao mbalimbali na confidant wake usiku kucha.
Kanusho la muitaliano limeonekana kuchafua hali ya hewa zaidi, hasa ukizingatia jamaa alishajichanganya na kukubali kuchangiwa mipesa na huyo bwana. Sasa leo ndo Ijumaa kuu yake, usiulize kwanini, nachokuahidi kaa mkao wa kushtuka kwa taarifa ya kurugenzi ya habari magogoni.
Jumatatu hii ni ogofya kwa kijana wenu huyu, muitaliano katika hali ya kushangaza jana kaanza kulipa madeni yake pale hotelini, Pesa katoa wapi, mimi sijui.