SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Kama kuna siku mbaya katika historia ya dini ya kikristo ni siku ya Ijumaa kuu, Petro hakuamini kama Yesu anaweza kukamatwa na akateswa, tena akauawa bila muujiza wowote wa kujiokoa kutokea. Lakini hayo yote yaliendelea mbele ya macho yake.
Siku ya leo kwa January itakuwa masaa 12 kama miaka 12, kutumbuliwa kwa Sefue kumemfanya apoteze confidence kabisa, hakuamini kama imetokea, Jana kama amelala sina uhakika lakini taarifa za kiintelijensia zimenasa ushahidi kuwa alikuwa akihaha kujipanga namna ya kujinasua kwa kufanya vikao mbalimbali na confidant wake usiku kucha.
Kanusho la muitaliano limeonekana kuchafua hali ya hewa zaidi, hasa ukizingatia jamaa alishajichanganya na kukubali kuchangiwa mipesa na huyo bwana. Sasa leo ndo Ijumaa kuu yake, usiulize kwanini, nachokuahidi kaa mkao wa kushtuka kwa taarifa ya kurugenzi ya habari magogoni.
Jumatatu hii ni ogofya kwa kijana wenu huyu, muitaliano katika hali ya kushangaza jana kaanza kulipa madeni yake pale hotelini, Pesa katoa wapi, mimi sijui.