Jumatatu ogofya kwa January Makamba

Jumatatu ogofya kwa January Makamba

ni dhahiri kua kwa hali ilipofikia kwa ndugu januari makamba aidha atalazimika kujiujiuzuru mwenyewe au kuachishwa kazi ya uwaziri kutokana na sekeseke linaloendelea dhidi yake hivyo nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine je ni nani anafaa kumrithi makamba? mi nampendekeza ally kesy wa nkasi kaskazin yule anafaa sana hasa katika kipindi hiki ambapo masuala ya muungano yanasuasua yeye hua namuona ana uchungu wa dhati na kero za muungano
 
Magu asipotumbua hili jipu basi yeye ndo jipu kuu
 
sidhani kama uwaziri sasa ndo kila kitu,tena umekuwa moto maana vichwa ngumu kina lisu ,mnyika wanakusubiri bungeni kukusulubu,huku mitandaoni napo wanakusulubu yaani ni mateso tu,kama una hela yako fanya biashara tafuta hela,mbona kina warren buffet sio mawaziri na wanaishi vizuri.

Ila wabongo nimewakubali kwa kufurahia majanga kwa wenzao
Ni kweli mkuu ukiwa na hela zako bora fanya shughuli zako unajiepusha na mambo mengi yanayoweza kukufanya ufe kwa presha.
 
ni dhahiri kua kwa hali ilipofikia kwa ndugu januari makamba aidha atalazimika kujiujiuzuru mwenyewe au kuachishwa kazi ya uwaziri kutokana na sekeseke linaloendelea dhidi yake hivyo nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine je ni nani anafaa kumrithi makamba? mi nampendekeza ally kesy wa nkasi kaskazin yule anafaa sana hasa katika kipindi hiki ambapo masuala ya muungano yanasuasua yeye hua namuona ana uchungu wa dhati na kero za muungano
naunga mkono hoja 100%
 
LUAGA MPINA YULEEEEE Nilikuwa nasikia kichefu chefu vichwa furani viwili kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri
 
Daaah aisee wabongo tushaanza kumuanda na mrithi wa waziri wetu mpendwa.mmmhhh maskini namuonea hurumaaa,ila si mthungu alimtahadharisha akawa mbishi so alambe matapishi maana mambo yalipofikia ni doa ambalo linazidi kushika kasi.
 
Wasingejibu yeye na dadake statement ya Mutaliano ingewaponya...
Tatizo kwenye utetezi wao wamekiri kiaina...
Waombe Mungu tu Magu asiwe anasoma mitandao...
Maana magazeti yamekauka
Mkuuu kuna gazet naona limeandika
 
Dah! Dogo Jembe kashanasa kwenye tundu bovu. Hata Ombeni Sefue alitetewa sana wiki iliyopita wakati alipoandamwa na kashfa ya ufisadi pale Ikulu, na tumeshuhudia jana tu akifurushwa toka Magogoni. Mnaomtetea Dogo Jembe endeleeni kufanya hivyo, sisi yetu macho tu.
 
Hakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.
Hivi hauoni aibu mtu mzima unavyojiua nguo hadharani?
 
muhongo mmemchafua lakini wapi...serikali haiendeshwi kwa upuuzi wa mitandaoni
aliyemsafisha muhongo ni sefue,je leo sefue yuko wapi? kanywa sana viroba jana mbezi beach kwake
 
Vijana wa kitengo cha Masaki wanajitahidi kuzuia mvua kwa chandarua
 
Hakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.
Wewe umesom label peke yake! Hebu fungua box ujiridhishe na kilichoko ndani!
 
Magufuli huwa anapita sana humu mitandaoni na namwamini katika swala la kutumbua majipu.. February jiandae ndugu zamu yako imefika.
 
Back
Top Bottom