Maria hebu nambie, Jumatano ya majivu ndo maandalizi ya Majilio au? Nimepata kipaimara siku nyingi sana, nshasahau.
Hayupo siku waliishamuamisha siku nyingi yuko Fr. Edwin Kigomba na mwingine aliyekuwa paroko wa KibahaMR twende zetu St. Joseph kwa Fr. Mansuetus (sijui bado yupo pale yule) tukapake majivu.:wink2: