Naona ni mwendo wa kula chapati na habari za michezo.[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]hata hizi watasema sio zanguView attachment 1185208
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli lakini pia si kweliNaona ni mwendo wa kula chapati na habari za michezo.
NB: kuna kamsemo kanasema hivii
'ukiona mwanaume anapika chapati za kusukuma au makande ujue kuoa ni majaliwa'
Nn Maoni yako kuhusu huu msemo
zinachekesha sana...Yaani kila mtu ametoa kituko cha aina yake😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shuhuda zinachekesha mno
Fafanua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli lakini pia si kweli
Na chapati ukiikosea mwenyewe utapenda inavyotoka😂Cku moja nikasema ngoja nipike chapat
Lkn mawazo yang yakawa yanawaza mgegedo, abdallah kichwa wazi jicho moja chini alkua hyper
Nilichotoa mhhhh chapat ngumu kama pangaboi