😫😂😒🙄😮Jitahidi MkuuNyie hamzini hamna wachumba mpo tu kisela.mtaishi miaka mingi maana matatizo ya kule kuzimu\ndoa mtaiepuka #tagg kataa ndoa daima.
sijui hata muda wa kutafuta pesa yeye anautoa wapi, au ndo bado analishwa na mama yake?Wewe hunaga mambo mengine ya kuwaza ila mapenzi tu?
Kwa mwandiko huo hakuna mtafutaji hapo!sijui hata muda wa kutafuta pesa yeye anautoa wapi, au ndo bado analishwa na mama yake?
We msela kwani mwandiko ndio unatafuta helaKwa mwandiko huo hakuna mtafutaji hapo!
Ndio mkubwaWe msela kwani mwandiko ndio unatafuta hela
Huyu anawakejeli mabachelor kiaina😀😫😂😒🙄😮Jitahidi Mkuu
kueleza Tatizo Lako Upate Msaada