[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cku moja nikasema ngoja nipike chapat
Lkn mawazo yang yakawa yanawaza mgegedo, abdallah kichwa wazi jicho moja chini alkua hyper
Nilichotoa mhhhh chapat ngumu kama pangaboi
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabaharia tunaelewa kuwa uliyelala nae humo jana usiku ndo katoa hizo chapati
Mwanaume kupika chapati ni mtihani mkubwa sana walahy.......sijui huwa wanapatiaje hawa wadada. Mie kila nikipika natoa zimekua kama ungo,unaweza kuziendesha yani kama tairi kwa huo ugumu
Wallah hiyo chapati ukipiga nayo mtoto anatenguka shavu
Cku moja nikasema ngoja nipike chapat
Lkn mawazo yang yakawa yanawaza mgegedo, abdallah kichwa wazi jicho moja chini alkua hyper
Nilichotoa mhhhh chapat ngumu kama pangaboi
Kwenye chapati umejikaza aise kuna siku nilijidao kupika iyo kitu sio kwa chapati zile zilitoka ngumu ka mifuniko yakufunikia chungu cha maharagwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabaharia tunaelewa kuwa uliyelala nae humo jana usiku ndo katoa hizo chapati
Mwanaume kupika chapati ni mtihani mkubwa sana walahy.......sijui huwa wanapatiaje hawa wadada. Mie kila nikipika natoa zimekua kama ungo,unaweza kuziendesha yani kama tairi kwa huo ugumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabaharia tunaelewa kuwa uliyelala nae humo jana usiku ndo katoa hizo chapati
Mwanaume kupika chapati ni mtihani mkubwa sana walahy.......sijui huwa wanapatiaje hawa wadada. Mie kila nikipika natoa zimekua kama ungo,unaweza kuziendesha yani kama tairi kwa huo ugumu
Acha kutoa macho[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]