Jumapili njema!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
KAMA HUJAWAHI KUFANYA HII MOVIE USIJARIBU NAKUSIHI!!

Habarini za Jumapili ndugu zanguni
Jana nilipata wakati mgumu kidogo wakati rafiki yangu wa karibu aliponipigiia simu mida ya
saa kumi na nusu niende sinza..nikauliza wapi kwa remmy..very urgent,sikusita bahati Mungu alitupa
kaneema cha mafta nikaamua kwenda kuhoji kulikoni..nilipofika kwa remmy akasema ingia
kushoto kwako utakuta lodge inaitwa fulani..nkauliza kulikoni nijuze ndugu nisije fika wakanipopolea
vyoo vyangu na gari la mkopo mpwa,,Sinema ilikuwa ifuatavyo

Mpwa nilikuwa na gfriend wangu unaemjua ;eeh nikamalizana nae saa nane,,nikamwacha na kuaga naondoka lakini ukweli
kulikuwa na kabinti fulani kanataka nikasaidie kumaliza hamu yake..eeehh...nikaenda sehemu nikajua bibie ameshaondoka
nikarudi kwenye lodge mpwa niko na bibi Part 2 akaomba anaenda kuoga alipotoka kuelekea chooni..asisikie anasalimiana na
gfriend wake aliemwacha chumban akijua ameondoka kumbe mida hiyo ndio anaondoka..akasemahee mwaya na wewe unakujaga
huku na mke mwenzie akamuuliza he na wewe umekujuaje bila kujua wamemwacha kidume ndani......
Kuumbe part 2 akamwambia part 1 amsubiri mwenzi akai sana akaenda kukaa recpetion mshenzi..kijana wa watu anatoka na zigo
lake yaani Part 2 anakuta Zigo Lake origin Part 1 liko recpt kama transit pax anasubiri kuelekea Dubai

Ndugu zanguni kilichofanyika pale sijui ila nilipofika nilikuta part 1 analia anatoka damu part 2 analia anatoka damu........

Pengine nilishindwa kujua nimsaidie nani ila hii ni kweli na kwa kukusaidia tu kama una kamechezo cha ku double basi
akikisha una hela ya kuchukua self cont,...utaaibika ..kama huyu binti angeoga ndani asingemwona mwenzake

Kingine hivi kwa nini hivi lakini??Unawezaje kumix ovyo jamani sie wanaume hata kama tumepewa urijali??najua kaka yetu
uhusiano wake uko mashakani na kabinti kazuri kwa miaka 4 saasa anaenda aribu maisha yake....kama unahisi uwezi kumuheshimu'mwenzio kenye mahausiano basi kuwa kisele yaani aliekaa mbele wa kwako..kuliko kumwaibisha mwenzio kiasi hiki

sisemi wewe una tabia hiyoo ila pengine ushawahi kufanya hivi aukukamatwa na kama ujafanya usifanye ngo'

Wasalaamu

Jumapili Njema wale wapenzi Man City kaeni mkao wa kula leo ;
 
Duuu, pole kwa mpwao kwa yaliyomkuta. Nafikiri kama ana akili zilizotulia vzr, tukio hili limfundishe kubadili tabia. Mimi binafsi singali bado nikiamini kuwa uanaume wangu ni sababu ya kubadili wanawake nipendavyo. Tabia hii siyo nzuri, nami huwa naitafsiri ni kama kuzitesa na kutokuzitendea haki nafsi za wapenzi wenu ambao mnawabadilisha kila siku. Jiweke kwenye position ya Mpwao, ingekuwa yeye ndiyo kafumania angejisikiaje?

Mshauri rafiki yako aachane na tabia hizi, maana akiendelea huwenda yakamkuta makubwa kuliko haya! Jaribu kupiga picha kama mmoja wa hao angukuwa hata na silaha ya jadi, na kwa bahati mbaya akamuua aliyemfumania, hali ingekuwaje kama si kupelekana jela?

Ni vizuri kuwa waungwana,waaminifu na wastaarabu katika mahusiano yetu ya kimaisha na kimapenzi.

tafakari, chukua hatua!
 
Na kweli ndugu yangu. Matukio ni mengi tena yanatisha lakini watu hawajifunzi. Unakaa na mtu for 4yrs ila katamaa ka dakika chache tu kanakuponza. Pole yake........
 
Sorry kama niko out of Topic.... Yaani Pddy nilipoona heading Juma pili njema hapa niliingia kusema the same to you mara ghafla.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom