Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

Nyote mnaompinga JPM ni WAPUMBAVU , jifunzeni kufanya kazi. Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni John Joseph Pombe Magufuli mpaka 2025, endeleleeni kusubiri hizo sijui jumanne nyeusi, sijui ijumaa za blue au jumamosi za njano, mtangoja milele Kama wafuasi wa Kibwetele. Nyambafu.
 
Ni vzr tuilekeze serikali kuwa wanaposema wanataka uchumi ya viwande basi waandae mazingira za uchumi unaotegemea viwanda yaani uchumi unaotegemea uzalishaji tofauti na hali ilivyo kwasasa uchumi wetu ni uchumi kukusanya kodi.

Uchumi unaotegemea uzalishaji ni ile unaovutia wawekezaji kuwekeza na njia pekee ya kuvutia wawekezaji ni kuwapunguzia kodi. Na wao watawekeza na kuongeza ajira ambapo uzalishaji wa maligafi utaobgezeka na hivyo kupunguza utegemezi. Baada ya kutengeza ajira na uzalishaji wa bidhaa kuongezeka hapo ndipo serikali inakusanya kodi ambayo ni Mdogo lkn walipaji ni wengi.
Mfano wa nchi inayofanikiwa kwa uchumi wa viwanda kwasasa ni Ghana.

Napenda waziri mpango angepitia link hii naamini kuna kitu atajifunza ikiwa kweli a nahitaji Tz kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji kinyume chake tujiandae kisaikologia kupokea anguko LA uchumi.


Kwa uchache ili bidhaa imfikie mlaji Tz bidhaa hiyo itatozwa kodi zaidi ya 100%. Yaani bidhaa inayopaswa kuuzwa kwa sh 20 itauzwa 40 na inayopaswa kuuzwa sh 1200 inauzwa 2400.

Nini tofauti ya awamu ya 4 na awamu ya 5 wakati chama kinachotawala ni kile kile. Tofauti kubwa ni kuwa awamu ya 4 kodi nyingi zilikuwa zinalipwa pungufu yaani kulikuwa na ukwepaji Mkubwa wa kodi ilhali kiasi kidogo cha kodi wakilipa . awamu ya 5 imeona changamoto hizo na kuamua kusimamia kodi ilipwe kama inavyostahiki, serikali inapaswa kurasimisha mapungufu yaliyojitokea ili kila upande ufurahie yaani wawekezaji wapinguziwe kodi ili bidhaa iwafikie wananchi kwa gharama nafuu na serikali ipate kodi yake na kwakuwa itakuwa ndogo wafanya biashara watalipa bila shuruti na hivyo kupelekea mianya ya rushwa kutokuwapo.


Kwasasa hali ya kodi kwa bidhaa ilivyo ni kuna
Direct taxes
Import duty 25%
Vat on import duty 18%
Income tax 30%
Vat on sales 18%
Levy 0.5%
Road toll 1%
Inderect taxes
Kwenye mafuta
Umeme
Halmashauri


Uchumi wa ghana unakuwa kwa 7% in 2017/2018

 

Well said! Kuna watu wamempa like za kutosha!! Hapa ndo utajua watz wasivyokuwa makini! Kila kitu ni ushabiki tu, hakina kufikiria mkuu
 
Duuuuh, nchi hii tu wajinga kupindukia. Tunamkubalia kabisa mtu anayetuambia Great Depression ilisababishwa na mtu aitwae Herbert Hoover.

Nafahamu wengi wetu wajinga na wengi wengi tumapenda kuongopewa jambo lolote litskaloisema vibaya serikali, imekuwa hulka yetu.

Lakini sikuwahi kufikiri ujinga na hulks yetu ingetufanya tudanganywe hata kwa mambo dhahiri yanayofahamika duniani kama Great Depression.

Hongera mtoa post umefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika uongo wako huu. Wacha wajinga tuendelee kukuunga mkono na sisi tunaopenda kudanganywa no wakati wetu kushiriki kuzidanganya nafsi zetu.
 
"Ni kiburi cha ovyo mtu kuropoka yale anayoyaona kuwa ya kweli bila kujali matatizo yatakayowapata wananchi. Maana hakuna hata mmoja wetu anayejua ukweli wote; tunaweza tukagundua sehemu mpya ya ukweli, lakini hatuna haki ya kujidai kwamba tunajua zaidi " - Nyerere, Feb 29th,1968
 
Asante
 
Sifa za mtu asiyeweza kujifunza
1.Kutokuwa na kumbukumbu aka historia
2.Kiburi
3.kupenda sifa (huwexi kuuliza utaonekana dhaifu)
4.kuwamiongoni mwa wajinga kuliko wewe
5. Kuwa miongoni mwa wanafiki
 
Sifa za mtu asiyeweza kujifunza
1.Kutokuwa na kumbukumbu aka historia
2.Kiburi
3.kupenda sifa (huwexi kuuliza utaonekana dhaifu)
4.kuwamiongoni mwa wajinga kuliko wewe
5. Kuwa miongoni mwa wanafiki
 
Pole sana....Ina maana nchi inavyoangamia ktk Hali ya kawaida huoni...au mwenzetu uko stockhom
 
Uchumi unaomaanisha ni upi? Maana siye wenye maisha ya chini tunaona mambo yanaenda tu hela ya kula hatukosi, sasa wanaolia wengi ni wale waliozoea kupata hela ambazo hawakuzistahili na ndo maana matumizi yake yalikuwa ya kutapanya, mfano watu walikuwa na nyumba ndogo wanazihudumia kwa kila kitu Magufuli kaja kawabana wote wamerudi njia kuu. Sasa michepuko lazima iseme uchumi kwa sababu walizoea kulishwa. Hakuna uchumi utakaotetereka tupige kazi kwa bidii.
 
Upata hela ya kula
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…