Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

Umetumia muda mwingi kuandika mambo mengi ambayo hayana uhusiano kabisa, sasa Tanzania itakuwaje na anguko la Uchumi? Uchumi upi huo uliokuwa nao TZ mpaka ipate anguko la uchumi?

Nchi ya GDP ya chini 45 Billion (US) tu na watu zaidi ya milioni 40, halafu unaongelea anguko la uchumi kana kwamba sasa hivi kuna kupanda kwa uchumi au kumeshawahi kuwepo na Uchumi mkubwa hadi uongelee anguko la Uchumi?
utumbo mtu...

HASARA ALIZOTUSABABISHIA MTETEZI WA WANYONGE
Meli Ya Wachina: Trilion 1.3
KONOIKE: Billion 134
Striling: Billion 87
MOIL: Billion 15

SASA UMEHESABU HASARA ZA MAGUFULI HESABU ZA KIKWETE UKIJUMLISHA MIKATABA MIBOVU NA WIZI ULIOKUWEPO. WEKA NA DENI LA MBOWE LA ZAIDI YA BILLIONI 1.4 KUFANYA BIASHARA KWENYE JENGO LA SERKALI BILA YA KODI KWA MIAKA HIYO YOTE. KISHA FIKILIA KAMA LOWASSA ANGESHINDA KUWA RAIS TANZANIA INGEKUWA WAPI? HATA MAKABURI YANGEKUWA MALI YA MBOWE. AKIMALIZA MIAKA KUMI MAGUFULI, DR SLAA ASHIKE MADARAKA AENDELEZE UONGOZI WA DR MAGUFULI KUITOWA TANZANIA KWENYE UJINGA

mabilioni na mabilioni na mabilioni ................

ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933)

Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza ajira.

Sababu kubwa ya Herbert Hoover kushindwa ni kufa kwa ununuzi wa hisa (New york stock exchange) ambayo ilipelekea watu kuchukuwa pesa zao kwenye mabenki na kufirisika kitendo ambacho kilipelekea wamerikani kumkataa rais HERBERT HOOVER.

View attachment 441037
Utawala wa herbert hoover ni wazi mambo yalionekana kuwa mabaya katika maeneo mengi muhimu kwa uchumi wa Marekani. Ni wamarekani ndio waliyofahamu kuwa Hoover mambo kwake alikuwa mabaya lakini kwa Tanzania mambo tofauti sio kama watu makini hawapo la, ni wajinga wengi sana kuliko watu makini na ndio sababu kubwa ambayo CCM wanayotumia.

View attachment 441038
Rais Herbert Hoover.

Mwaka 1929 akaja mkombozi wa uchumi wa marekani rais Franklin Delano Roosevelt na kauli yake "The only thing we have to fear is fear itself".

View attachment 441043

Mipango madhubuti ya rais Franklin delano roosevelt baada ya kuwa rais mwaka 1929

1. Nafuu(Relief): Alitoa pesa kusaidia wazee wasio na ajira.

2. Akafanya mabadiliko katika sector tofauti tofauti miongoni ni mabenk akazipa mitaji ili kurejesha matumaini kwa wananchi kutunza hela zao kwenye mabenk.

3. Rais franklin alitoa ajira kwa vijana.

4. Kutengeneza uhusiano mzuri wa wafanya kazi na waajiri wao ili kuteta ufanisi wa kazi hatimae marekani ikawa kubwa tena kwa uchumi.

View attachment 441059
The only thing we have to fear is fear itself.

View attachment 441060
It is common sense to take a method and try it. If it fails, admit it frankly and try another. But above all, try something.

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.

View attachment 441063

Utawala wa rais John Pombe Magufuli una zaidi ya mwaka moja na miezi kadhaa madarakani. Kama taifa, hatuwezi kuendelea na fungate (honeymoon) ya utawala wake wakati ni wazi mambo yanaonekana kuwa mabaya katika maeneo mengi muhimu kwa uchumi wa Tanzania.

Ufike wakati sasa tuanze kizungumzia mambo mazito yanayotukabili kama taifa.

Magufuli atambue kuwa hata Mungu mwenyewe alianza na mwanga

"Mungu akasema, iwe nuru, ikawa nuru. Mungu akaiona nuru na giza. Mungu akaiita nuru mchana, na giza akaiita usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza"

Ni maneno kutoka katika kitabu cha mwanzo(1: 3~5)

Tunatakiwa kufikiria kwamba tunaweza kuumizwa na tunaweza kujiumiza wenyewe, Magufuli anatakiwa kuambiwa kuwa safari yake ni ngumu katika uchumi.

Note: Magufuli utashi wa kisiasa ni muhimu katika kuendesha taifa.

Mipango ya rais Herbert ni sawa na mipango ya Magufuli.

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.

By mr mkiki
Aisee nimekuelewa

Kumlinganisha Rais Hoover na kuanguka kwa uchumi wakati wa kipindi chake na Rais Magufuli katika kipindi chake hiki cha kurekebisha uchumi ni kutoitendea haki historia.

Nina mashaka inawezekana mtoa post hukusoma somo la Historia katika elimu yako. Kama ungelisoma, ungelijua sababu za kuanguka uchumi enzi za Hoover.

Vilevile, ungelijua na kuoanisha hatua alizochukua Rais Roosevelt kupitia kauli mbiu yake ya 'NEW DEAL' kufufua uchumi zinafanana na za Rais Magufuli kupitia kauli mbiu yake ya 'HAPA KAZI TU'.
Hapa jamaa kakosea mno kwa kuringanisha Marekani ya mwaka 1920's na Tanzania(Danganyikaland) ya mwaka 2018,sisi bado tumelala tupo miaka ya 1600's ya USA kifikra.
Pamoja na Tanganyika kujaliwa kila namna ya utajil wote nado ni maskini.
Fikiria,chukua Hatua

Kwakweli Mimi sio mtalaamu wa uchumi na wala sio mwanaccm lakini kwa Sera za magufuli naziunga mkono sana sababu kuzuia mianya ya upoteaji wa mapato ni kitu kizuri sana na tena kinaleta tija kwenye uchumi wa nchi yetu,kuhusu nchi kushuka kiuchumi hilo haliwezi kutokea sababu mfumuko wa bei hupo wa kawaida swala kuwa amejikita kwenye miradi mtambuka ndo maana unaona ni kama uchumi haukui ila baada ya miradi hii kuisha nadhani kutakuwa na hali nzuri sana sababu italeta tija tatizo mfumo wa uchumi wa wa magufuguli ni wa kutaka kila mtu ashiriki kutafuta hela sio mtu wa juu wala chini wanasema ni kama total football

Kwa
Unamuombea mabaya Magufuli hayato mpata

Ataendelea kunyoosha mpaka nchi itakapokaa sawa

Maana umeandika mambo meeeengi America kwa wakati huo ilikuwa ina wasomi zaidi ya asilimia 50

Mwaka huu 2016 Tanzania ina wasomi wasiozidi asilimia 12 wapi na wapi

Acha Raisi ajenge nchi
Hiyo unakubali kuwa hakuna mafanikio yanayofikiwa na awamu hii , ila tu kwa mtazamo wa wajinga ambao ndil walio weng tz

Dangote kafunga kiwanda, serikali haioni effect inayotokea hawafikirii ni nafasi ngapi za kazi zitapotezwa achana mbali na investment capital dangote aliyotumia. wana force vitu visivyowezekana. Eti Tanzania Ya viwanda wakati wawekezaji wenyewe mnawafukuza.
Ni viwanda vya kuwafanya matajir kuw maskin na maskin kuwa maskini zaid.alisema lakin lazima muishi kama mashetan.
SERIKAL YA KUKURUPUKA HAIJUI INAFUATA SERA GANI.IMEKUWA SERIKALI YA WANAFIKI.WANAOGOPA KUMKOA MNYARWANDA KILAZA

Huu uzi kama mtaweza kila mtu au copy aweke uzi wake uwe ni wimbo wa JF na taifa kwa ujumla labda jamaa atashituka..@mr mkiki naomba niucopy

ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933)

Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza ajira.

Sababu kubwa ya Herbert Hoover kushindwa ni kufa kwa ununuzi wa hisa (New york stock exchange) ambayo ilipelekea watu kuchukuwa pesa zao kwenye mabenki na kufirisika kitendo ambacho kilipelekea wamerikani kumkataa rais HERBERT HOOVER.

herbert-hoover-jpg.441037

Utawala wa herbert hoover ni wazi mambo yalionekana kuwa mabaya katika maeneo mengi muhimu kwa uchumi wa Marekani. Ni wamarekani ndio waliyofahamu kuwa Hoover mambo kwake alikuwa mabaya lakini kwa Tanzania mambo tofauti sio kama watu makini hawapo la, ni wajinga wengi sana kuliko watu makini na ndio sababu kubwa ambayo CCM wanayotumia.

heho_hoover_london_treaty_1930-jpg.441038

Rais Herbert Hoover.

Mwaka 1929 akaja mkombozi wa uchumi wa marekani rais Franklin Delano Roosevelt na kauli yake "The only thing we have to fear is fear itself".

32_franklin_d_roosevelt-jpg.441043

Mipango madhubuti ya rais Franklin delano roosevelt baada ya kuwa rais mwaka 1929

1. Nafuu(Relief): Alitoa pesa kusaidia wazee wasio na ajira.

2. Akafanya mabadiliko katika sector tofauti tofauti miongoni ni mabenk akazipa mitaji ili kurejesha matumaini kwa wananchi kutunza hela zao kwenye mabenk.

3. Rais franklin alitoa ajira kwa vijana.

4. Kutengeneza uhusiano mzuri wa wafanya kazi na waajiri wao ili kuteta ufanisi wa kazi hatimae marekani ikawa kubwa tena kwa uchumi.

franklin_d_roosevelt_quotations-jpg.441059

The only thing we have to fear is fear itself.

quote-franklin-d-roosevelt-png.441060

It is common sense to take a method and try it. If it fails, admit it frankly and try another. But above all, try something.

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.

bot7-jpg.441063

Utawala wa rais John Pombe Magufuli una zaidi ya mwaka moja na miezi kadhaa madarakani. Kama taifa, hatuwezi kuendelea na fungate (honeymoon) ya utawala wake wakati ni wazi mambo yanaonekana kuwa mabaya katika maeneo mengi muhimu kwa uchumi wa Tanzania.

Ufike wakati sasa tuanze kizungumzia mambo mazito yanayotukabili kama taifa.

Magufuli atambue kuwa hata Mungu mwenyewe alianza na mwanga

"Mungu akasema, iwe nuru, ikawa nuru. Mungu akaiona nuru na giza. Mungu akaiita nuru mchana, na giza akaiita usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza"

Ni maneno kutoka katika kitabu cha mwanzo(1: 3~5)

Tunatakiwa kufikiria kwamba tunaweza kuumizwa na tunaweza kujiumiza wenyewe, Magufuli anatakiwa kuambiwa kuwa safari yake ni ngumu katika uchumi.

Note: Magufuli utashi wa kisiasa ni muhimu katika kuendesha taifa.

Mipango ya rais Herbert ni sawa na mipango ya Magufuli.

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.

By mr mkiki

HASARA ALIZOTUSABABISHIA MTETEZI WA WANYONGE
Meli Ya Wachina: Trilion 1.3
KONOIKE: Billion 134
Striling: Billion 87
MOIL: Billion 15
Umesahau bombardier, bilioni zaidi ya 100!! Kweli jumanne nyeusi haiko mbali.

Similar Discussions

Back
Top Bottom