Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

Huu utabiri una ukweli mkubwa sana ndani yake. Hata Trump mwenyewe, faida zote ambazo zilipatikana chini ya utawala wake, zimefutwa na corona na sasa ni mwendo wa kuelekea chini hadi yeye mwenyewe kapanic anataka kuondoa social distancing na lock downs.

Mboga moyo ugali moto.

Ukitema nchale, ukimumunya nchale.

Ni wazi tunaelekea kwenye zile hali za mbwa kula mbwa!
.
IMG_20200331_153532.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusome hapa UTUMWA WA BUNGE LA JMT NA WABUNGE WAKE

Spika aulizwe alifanya lini majadiliano na wabunge wakapata muafaka alioutangaza? Je, kashauriwa na wabunge au CC alishamcopy maamuz ya Baraza LA Mawaziri?



But now I feel blue days come for us,

Think
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom