Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

Blue Tuesday for trump

Leo alivaa tai ya blue kuonyesha it's blue Tuesday

Lkn ametumia maneno ya Roosevelt
Akaamua kufungua mipaka hakuna kujiogopa na wataweza kupambana,

Magufuli sijui na yeye leo kazungumzia hilo kwenye mkutano wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu utabiri una ukweli mkubwa sana ndani yake. Hata Trump mwenyewe, faida zote ambazo zilipatikana chini ya utawala wake, zimefutwa na corona na sasa ni mwendo wa kuelekea chini hadi yeye mwenyewe kapanic anataka kuondoa social distancing na lock downs.😎

Mboga moyo ugali moto.

Ukitema nchale, ukimumunya nchale.

Ni wazi tunaelekea kwenye zile hali za mbwa kula mbwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom