Jumamosi hii: Dawati la jinsia

Jumamosi hii: Dawati la jinsia

Nipe maana ya kubaka....!!

kubaka, ama rape kwa lugha ya great britain... '' it is a unwilling sexual intercourse between two different sex.. where force is used to make the opponent agree to intercourse..''

pia rape inaweza kuwa isiwe sex tu kwa sababu, endapo utatumia kitu ambacho hakijawa matured enough kufikia ukomavu wake na wakati wa kuwa consumed, tunaita ni rape..

pia, katika marketing.. rape pia inatumika.. unapotumia bidhaa ama nembo ya kampuni nyingine bila ridhaa yake mwenyewe, tunaita ni brand raping..

asante..
 
Ndio kwakuwa kubaka ni kitendo na hakihusiani na jinsia ila kuna kubaka kubakwa na kubakana

Ni ngumu sana kuprove mwanaume aliyebakwa na mkewe/mwanamke! Huwaga kuna utata sana kwenye kuhakiki hilo kosa hususan kwa couple!

All in all, wanaume wenyewe hawapendi kujisema wala hawaoni umuhimu wa hiyo right, wengi utawasikia wanaona ni kujidhalilisha.......sasa nani atawafuatilia?

Nawashauri wenye uhitaji wakomalie ili wasaidiwe!
 
madawati ya jinsia ni kwa ajili ya wote..we peleka kesi yako uone kama haitashughulikiwa
 
Wababa na mablazakaka wanaona noma kwenda kushtaki kwenye yale madawati wengine ni mabausa kabisa lakini mbele ya wake zao ni wachumba tu
 
kubaka, ama rape kwa lugha ya great britain... '' it is a unwilling sexual intercourse between two different sex.. where force is used to make the opponent agree to intercourse..''

pia rape inaweza kuwa isiwe sex tu kwa sababu, endapo utatumia kitu ambacho hakijawa matured enough kufikia ukomavu wake na wakati wa kuwa consumed, tunaita ni rape..

pia, katika marketing.. rape pia inatumika.. unapotumia bidhaa ama nembo ya kampuni nyingine bila ridhaa yake mwenyewe, tunaita ni brand raping..

asante..

Kwa hiyo kubaka (katika muktadha wa mapenzi) Ni kulazimishwa, katika njia yoyote Ile kufanya tendo la ndoa/ngono bila ridhaa ya mhusika. Tumekubaliana katika Hilo. Basi nijibu, msichana amemrubuni kijana kwa kumuwekea dawa za kustimulate hamu ya mapenzi, kijana kapata hamu hadi maumivu..je, hajambaka?
mdada anamseduce kijana ambaye hayuko katika mood kabisa, ham imemjia ila akili/nafsi haijatidhia kuufanya mapenzi, jee sio kubakwa hukwo?
 
hiyo ni seduction
 
inabidi wawe wawazi kama wanahitaji kusaidiwa
Wababa na mablazakaka
wanaona noma kwenda kushtaki kwenye yale madawati wengine ni mabausa
kabisa lakini mbele ya wake zao ni wachumba tu
 
kubaka ktk ndoa yani mke au mume nafkiri bado haitambuliki kisheria,au

wanasema rape ni tendo la kulazimisha sex. sasa kama mkeo umemlazimisha akupe penzi wakati akiwa hataki seriously hiyo tunaiitaje?.... kuna kesi nilishaisikia kwamba kuna jamaa kabaka mke wake! nadhani hapo ndipo palipotumika haswaa!

nadhani kama mkiwa mmeachana, then ukalazimisha penzi, hiyo ni complete rape km sijakosea..
 
Excel amini usiamini wanandoa wengi wanaishi maisha ya kubakana ila hawawezi kwenda kushtaki popote kwakuwa hawataeleweka
Hii inatokea sana tu; mwenzi wako hajisikii kabisa ila kwakuwa anaogopa usije chepuka au kufikiriwa vibaya basi anajikuta anakubali kuingilia au kuingiliwa lakini rohoni hayuko radhi abadan ....!!!hii ni aina fulani ya ubakaji
 
Kwa hiyo kubaka (katika muktadha wa mapenzi) Ni kulazimishwa, katika njia yoyote Ile kufanya tendo la ndoa/ngono bila ridhaa ya mhusika. Tumekubaliana katika Hilo. Basi nijibu, msichana amemrubuni kijana kwa kumuwekea dawa za kustimulate hamu ya mapenzi, kijana kapata hamu hadi maumivu..je, hajambaka?
mdada anamseduce kijana ambaye hayuko katika mood kabisa, ham imemjia ila akili/nafsi haijatidhia kuufanya mapenzi, jee sio kubakwa hukwo?

kwanza kabisa naomba niongezee kitu hapa!!

sheria ya nchi inasema kuwa, love is love when the two has reached 18 and above.. ukifanya mapenzi mtu ambae ni under 18, whether mlikubaliana ama hamkukubaliana, hiyo moja kwa moja inachukuliwa kuwa ni kubaka, bila kutafuta ushahidi wa ziada. umri tu umetosha kufunga ushahidi...

pili, mr Eli79, umeongelea suala la utumiaji wa madawa katika mapenzi/ngono, pia umeongelea seduction kati ya wawili pale mmojawapo anapokuwa ametumia ushawishi wa ziada kumuingiza mwenzie katika mawazo ya ngono..

mr eli79, kumbuka mapenzi/ngono salama isiyo na maumivu ni lile ambayo wawili (wapenzi) wanakuwa wameandaana na kukubaliana wanachoenda kukifanya wakiwa na akili zao timamu (akili ambazo hazijawa interrupted na kitu chochote, iwe ni alcohol, drugs ama chochote kile kinachoweza leta brain confusion..)..

hivyo basi, kama dawa ilitumika wakati mlengwa akiwa hajui kinachoenda kufanyika.. hiyo ni rape. endapo watanyweshana dawa wakiwa tayari walishakubaliana, hiyo sasa ni juu yao!

seduction kama nilivyosema, imekuja wakati muhusika akiwa hayuko willing kwa tendo, hivyo kupelekea majuto baadae kwanini amefanyiwa tendo, hiyo ni rape kisheria..

asante.. Excel.
 
Last edited by a moderator:
Excel amini usiamini wanandoa wengi wanaishi maisha ya kubakana ila hawawezi kwenda kushtaki popote kwakuwa hawataeleweka
Hii inatokea sana tu; mwenzi wako hajisikii kabisa ila kwakuwa anaogopa usije chepuka au kufikiriwa vibaya basi anajikuta anakubali kuingilia au kuingiliwa lakini rohoni hayuko radhi abadan ....!!!hii ni aina fulani ya ubakaji

Mkuu nakubali kabisa kwamba wanandoa kuna kipindi wanalazimishana..!

hilo nalo neno, lakini tukiliweka moja kwa moja kwenye ubakaji aisee tunakuwa tumelikuza mno!! japo kuna element za forced sex, ama sex abuse...

via vya uzazi vinapokuwa haviko tayari kwa tendo, ina maana kwamba vitakumbana na maumivu makali wakati wa friction, hivyo kama tendo limefanywa wakati upande mwingine hauko tayari, kweli ni aina moja ya ubakaji pia...
 
Back
Top Bottom