dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,878
- 2,085
Anaongea bungeni sasa hivi anasema alipokua BBC alikua kwenye kitengo cha propaganda na aliwaaminisha waingereza mambo ya UONGO ambayo ETI leo anayajutia.
Anasema alifanya hivyo ili KUGANGA NJAA watoto wake wasome. UNAFIKI MKUBWA SANA HUU. kujifanya upo hivi kumbe upo vile.
Biblia na Quran ZIMEKEMEA WANAFIKI.
Anasema alifanya hivyo ili KUGANGA NJAA watoto wake wasome. UNAFIKI MKUBWA SANA HUU. kujifanya upo hivi kumbe upo vile.
Biblia na Quran ZIMEKEMEA WANAFIKI.
Amewashambulia waandishi wa habari kuwafuata wapinzani walipotoka nje.
Akadai habari ni mswada na si kutoka nje, amesahau kuwa matukio haya yanaendana yaani wapinzani wametoka kutokana na mchakato kuanza kuchakachuliwa na maccm.
Waandishi wa zama hizi si wa zama za Nkamia.
Kwa umbumbumbu wake amekiri kuwa wkt wa vita vya Iraq yeye alikuwa kitengo cha propaganda akafanya hivyo ili watoto wake waende shule!!
Akaenda mbali zaidi kwa kuwapangia waandishi wa habari na kuwatishia waandike nini kesho?
Akasema mpango ulikuwa umesukwa mapema!