Juma Nkamia ni mnafiki

Juma Nkamia ni mnafiki

>Alafu alihama kule nyuma na kwenda kukaa mbele pale kwa wapinzani!
 
Ndo wabunge makini hao maccm wanajivunia
 
Nadhani huyu ni tunda la ccm. Lazima afanye hayo ili apitishwe tena. Sasa ni saa za majeruhi, akisaidiwa na Job lazima ampe nafasi ya kupiga domo ziingie mara mbili. Za Makinda na za Nape. Watoto washibe
 
Hivi kuna mtu aliyekuwa na mategemeo kuwa Nkamia ni mbunge wa kuweza kusimama mbele ya watu! Mimi naona anawatukanisha waliompigia kura
 
Anaongea bungeni sasa hivi anasema alipokua BBC alikua kwenye kitengo cha propaganda na aliwaaminisha waingereza mambo ya UONGO ambayo ETI leo anayajutia.

Anasema alifanya hivyo ili KUGANGA NJAA watoto wake wasome. UNAFIKI MKUBWA SANA HUU. kujifanya upo hivi kumbe upo vile.

Biblia na Quran ZIMEKEMEA WANAFIKI.

...hata sasa bado anasema uongo kuganga njaa ccm,and that is the nature of magambas...
 
nchi tunategemea nchi iendleee wakati bungeni... kuna kina nkamia, lusinde maji marefu n.k
 
Mbona Mambo mengi ya CCM ni propaganda tu.
Nkamia kwa sasa CCM wanafaidi utaalam wake wa propaganda.
Ngoja wamalize kuropoka kila mmoja fani yake kwenye chama.
 
Huyu ni mnafiki hana la kufananishwa nalo mjinga tu!

Shwain sana!
 
Kama umekili kuwa ulikua kwy kitengo cha propaganda wakati unafanya kazi BBC ya kuhalalisha kuwa Iraq ilikua Ina silaha za sumu ambazo ni propaganda za wamerikani, ikiwa unajua si kweli ni uongo na umekilia umefanya hivyo kwa ajili ya kulinda chakula cha watoto wako, je huoni hata sasa unachochotetea ni kwa ajili ya kulinda chakula cha watoto wako, na si kwa ajili ya mustkabali wa Taifa?

Jamaa ni hpeless kabisa. anawezaje leo kuacha kujipendekeza ccm ili watoto wake waende shule ikiwa hulka yake ndo hiyo.. jamaa ------- sana kaniboa mpaka basi
 
kesho ataongea bungeni JF imemtukana akitaka mtandao ufungiwe
Huyu bwana kweli kilaza na waliochagua ili agombee ubunge nao vilaza
nawasikitikia wapiga kura wake kwa kupoteza muda kumpa kura.
Hivi kwanini alitoka BBC na kuanza kuganga tena njaa mitaani?
 
hakustahili hata Promo ya kuanzishiwa thread hapa.
 
Ni upuuzi kujadili upuuzi wa Juma Nkamia,ata na mimi ninae changia mada ya kipuuzi ni upuuzi.Jamani masikini akipata,kazi kwelikweli......
 
Ndio watanzani tujifunze kuchagua viongozi kwa uwezo wao na si kwa umaarufu wa majina yao!
 
Ili swala la propaganda wakati yuko bbc inabidi liwe na uzi wake lijadiliwe..ameliaibisha bunge na taifa...kama alishiriki afunguliwe mashtaka ya kiharifu kama mwanahabari wakati ule.
 
Nani alikua anamsikiliza huko Iraq sijui Amerika? alikua anatumia lugha gani kwenye hizo propaganda?!
 
Back
Top Bottom