Anaongea bungeni sasa hivi anasema alipokua BBC alikua kwenye kitengo cha propaganda na aliwaaminisha waingereza mambo ya UONGO ambayo ETI leo anayajutia.
Anasema alifanya hivyo ili KUGANGA NJAA watoto wake wasome. UNAFIKI MKUBWA SANA HUU. kujifanya upo hivi kumbe upo vile.
Biblia na Quran ZIMEKEMEA WANAFIKI.
Huyu mbumbumbu sijui nimuite kwa jina gani.
Huyu mbumbumbu sijui nimuite kwa jina gani.
msengeremaJamaa ni hpeless kabisa. anawezaje leo kuacha kujipendekeza ccm ili watoto wake waende shule ikiwa hulka yake ndo hiyo.. jamaa ------- sana kaniboa mpaka basi
akasome surat mnafikuna
Tatizo shule yake ndogo,njaa na umimi alionao ken.ge maji yule.Huyu mbumbumbu sijui nimuite kwa jina gani.