JUMA NKAMIA MNAFIKI
Anaongea bungeni sasa hivi anasema alipokua BBC alikua kwenye kitengo cha propaganda na aliwaaminisha waingereza mambo ya UONGO ambayo ETI leo anayajutia. Anasema alifanya hivyo ili KUGANGA NJAA watoto wake wasome. UNAFIKI MKUBWA SANA HUU. kujifanya upo hivi kumbe upo vile. Biblia na Quran ZIMEKEMEA WANAFIKI
Kama wanavyotoa majibu wao kwa wenzao...ATAKUWA NA WIVU WA KIKE...awaache wenzake nao wasomeshe watoto wao...Ila akumbuke pia kuwa wenzake hawafanyi propaganda ila ni ukweli mtupu kwani tumeona kile kinaendelea BUNGENI .Asiwatishe ni mtupu kuliko galasa...hakuna ameongea cha maana zaidi ya kuimba taarabu tu...POOR MP...Kama umekili kuwa ulikua kwy kitengo cha propaganda wakati unafanya kazi BBC ya kuhalalisha kuwa Iraq ilikua Ina silaha za sumu ambazo ni propaganda za wamerikani, ikiwa unajua si kweli ni uongo na umekilia umefanya hivyo kwa ajili ya kulinda chakula cha watoto wako, je huoni hata sasa unachochotetea ni kwa ajili ya kulinda chakula cha watoto wako, na si kwa ajili ya mustkabali wa Taifa?
Huyu mbumbumbu sijui nimuite kwa jina gani.
Huyu mbumbumbu sijui nimuite kwa jina gani.