Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,186
Anaongea bungeni sasa hivi anasema alipokua BBC alikua kwenye kitengo cha propaganda na aliwaaminisha waingereza mambo ya UONGO ambayo ETI leo anayajutia.
Anasema alifanya hivyo ili KUGANGA NJAA watoto wake wasome. UNAFIKI MKUBWA SANA HUU. kujifanya upo hivi kumbe upo vile.
Biblia na Quran ZIMEKEMEA WANAFIKI.
Mtu anayetubu, ni mtu mzuri, Msameheni.