Juma Nature amkubali Lowassa

Wewe nawe? Hivi huyo juma nature ni nani ktk nchi hii ukiachilia mbali kuwa ni mtanzania wa kawaida,hadi utuletee hapa jukwaani?
 
Akihojiwa ktk kipindi cha Alasiri Lounge jioni hii, kuhusu nani anafaa kuongoza nchi hii baada ya JK, Msanii Maarufu Juma Kassim Nature kwa uwazi na Uhuru ameeleza kuwa Lowassa ndiyo habari ya mjini.

Kama Huu Ni Mwaka Wake Wa 19 Kwa Kuvuta Bangi / Bange Mfululizo Ulitegemea Atoe Jawabu au Kauli Gani Mkuu? Moshi Umejaa Ubongoni.
 
Juma Kassim Nature anajitambua kwa sanaaa...
Akihojiwa ktk kipindi cha Alasiri Lounge jioni hii, kuhusu nani anafaa kuongoza nchi hii baada ya JK, Msanii Maarufu Juma Kassim Nature kwa uwazi na Uhuru ameeleza kuwa Lowassa ndiyo habari ya mjini.
 
Watu aina ya juma nature ni wasindikizaji katika nchi hii.kwa kifupi hajitambui hata ukimuuliza kwanini unamkubali fisadi lowasa hana jawabu.
 
Najua Lowasa akipita tu Kamati Kuu basi jueni ndio Raisi, 25/10 atakuwa anaenda kukamilisha ratiba tu
 
Akihojiwa ktk kipindi cha Alasiri Lounge jioni hii, kuhusu nani anafaa kuongoza nchi hii baada ya JK, Msanii Maarufu Juma Kassim Nature kwa uwazi na Uhuru ameeleza kuwa Lowassa ndiyo habari ya mjini.

wavuta bangi na mafisadi ni lowasa
 
Mjinga kweli aisee kweli tuna kazi watu sijui wafanywe nini na ccm ndo wajue kua ni chama ambacho kina haribu nchi yetu
 
Wakati unaleta habari hiyo umesahau kuwa JUMA NATURE ana kipaji sana cha muziki lakini kimemshinda itakuwa kufikir juu ya hili? kushney kabisa
 
Yaani sijui tufanyaje watu kama awana akili vile wizi wote huu ccm wanao ufanya bado tuu wanataka kuipigia kura tubadilike jamani
 
Back
Top Bottom