Akihojiwa ktk kipindi cha Alasiri Lounge jioni hii, kuhusu nani anafaa kuongoza nchi hii baada ya JK, Msanii Maarufu Juma Kassim Nature kwa uwazi na Uhuru ameeleza kuwa Lowassa ndiyo habari ya mjini.
Nature hana tofauti na sugu
Tuwe wastarabu hiyo ni opinion yake, tuheshimu mawazo ya watu wengine, hutuwezi tukawa na maendeleo kama wote tutakuwa na matazamo mmoja. IdiotJuma Nature yule alishakufa kimuziki sasa amerudi kwenye siasa sasa wasanii wanatumiwa kama kondomu .
Wewe nawe? Hivi huyo juma nature ni nani ktk nchi hii ukiachilia mbali kuwa ni mtanzania wa kawaida,hadi utuletee hapa jukwaani?