Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,676
Dadication kwa dada yangu ambaye alikariri kitabu kizima kuanzia mwanzo hadi wa mwisho.
Baba akawa anajitapa kwa wenzake, mi mwanangu anajua kusoma sana.
Basi kuna siku moja tulitembelewa na mgeni, basi, mgeni alikuwa amesikia sana sifa za dada yangu, basi akafunua ukurasa wa ndani, katikati.
Hapo ndio muujiza ulipotokea, dada yangu akaanza kuyasema maneno yaliyopo ukurasa wa kwanza.
Viva foreva Harry Buju