Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,260
- 4,133
Ndugu wana SSC, kama mnavyojua timu yetu pendwa imeshapoteana na mpaka sasa haijulikani mkwamo upo wapi.
Kuna changamoto kuu 4 hazina majibu !
1. Career development ya timu haipo, kama mnavoona focus ya timu ipo kwenye matangazo na branding, na sio ubora wa timu
2. Binafsi, natamani Mo atolewe SSC, ili timu ijulikane haina muwekezaji and the right one will come, tupo kwenye comfort zone ya Mo , ndio inawatesa wana SSC. Binafsi uwekezaji wa mwamedi ninauona wa mchongo sana
3. SIMBA SSC Haina kamati ya Usajili, inakwenda kucheza na yanga iliyobora na imefuzu nusu fainal klabu bingwa lakini wakadhulumiwa.
Kwangu mimi Mamelody alitolewa and yanga has proven to be the best club in Africa. Best team na I am sure kama tukirudia game na mamelody , atafungwa bila wasi. Kwa sasa Yanga ndio timu kubwa Africa. Na kama Yanga angepangiwa na Al ahly basi leo hii Yanga ingekuwa ipo final . Kama sio Yanga kufanyiwa fitna, nina hakika 95% Yanga angechukua Kombe la Africa at the first opportunity.
4. Sijawahi kuwa na imani na uongozi wa wazee, hivyo Salim na mwenzie wakae pembeni, inawezekana tatizo lipo hapa pia
Anyway, my point ni SSC isiingize timu tar 20 , tutashuhudia aibu ya mwaka, this time zitapigwa 12 , Hasira zote za Dar Young Africans za kudhulumiwa goli halali la Stephan Aziz K watazishushia kwa SSC. Ninaona Benchika akitimuliwa kama kafara , lakini tatzo sio kocha, kila mtu anajua shda nini.