Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,804
- 8,797
Mpiga kinanda maarufu wa TOT Juma Jerry amefariki dunia muda huu.
Mkurugenzi wa TOT, Gasper Tumaini ameiambia Saluti5 kuwa Juma Jerry amefariki katika hospital ya Lugalo jijini Dar es Salaam.
Tumaini amesema Juma Jerry alikuwa anasumbuliwa na presha na alilazwa Lugalo tangu jana.View attachment 1446523
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi kila anayekufa Tanzania analetwa humu?
Misiba ya mtaani kwenu mnaileta humu ili mseme ni korona?
Shameful!
Acha uongo mbona huku mtaani kwetu walifariki watu wawili ndani ya siku moja sikuona habari humuSiku hizi kila anayekufa Tanzania analetwa humu?
Misiba ya mtaani kwenu mnaileta humu ili mseme ni korona?
Shameful!
Acha uongo mbona huku mtaani kwetu walifariki watu wawili ndani ya siku moja sikuona habari humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanaotakiwa "kuletwa humu" ni akina nani tu? Hebu tukumbushane tusaidiane.Siku hizi kila anayekufa Tanzania analetwa humu?
Misiba ya mtaani kwenu mnaileta humu ili mseme ni korona?
Shameful!
Kwani wanaotakiwa "kuletwa humu" ni akina nani tu? Hebu tukumbushane tusaidiane.
Hapana mkuu , nadhani kuna watu wwnataka tu kuongeza taharuki juu ya korona ,Mkuu siyo kila msiba. Hawa ni watu na majina au CV zao.
Kina kajamba nani humu hawafiki mkuu. Nani atawajua?
Oogh wale ambao huwajui majina yao?? DuhSiwajui majina yao.
Hilo la kufariki watu wawili mtaani kwa siku moja nalo ni geni mkuu? Kweli korona ipo na inauaAcha uongo mbona huku mtaani kwetu walifariki watu wawili ndani ya siku moja sikuona habari humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza swali na kujijibu mwenyewe!!Oogh wale ambao huwajui majina yao?? Duh
Tufanye umeshinda! Isiwe kesiUnauliza swali na kujijibu mwenyewe!!
Duh!!!