Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 4,037
- 3,034
Anamuogopa Magufuli. so atakuwa kishakimbia nchi
UKAWA ni gunia la viwavi njaa hakuna mwanasiasa hata mmoja; wote wanalilia masilahi tu yani aibu
Nilichokiongea hujakijua bado. Kuwa mgombea wa chama cha upinzani alijinyea nzega stand. Hivyo wengine wameamua kukaa pembeni kujiondoa na aibu.
Mlisema magufuli ana moyo wa plastics, mkasema katengwa na mkewe kwenye kampeni na juzi mmeanzisha kuwa hajui kiingereza, siasa hizo mnazozifanya nyinyi kuna tofauti ipi hii ambayo mzee alinyea live stand. Atleast mimi nimepoint issue ambaye kiuhalisia ni kweli imetokea. Siasa hamzijui mkiona mmezidiwa mnavaa uana kondoo huku mkijifanya wasauhalifu kwa hayo mnayoyafanya kwa upande wa pili
Kubwa zima linaomba huruma ya JF moderators yaani comment yako umeandika kindezi sana. Kana kwamba wewe ni malaika
JUMA DUNI KAPOTELEA WAPI?
Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.
Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.
Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa
Yupo kwani ulitaka muwe nae? mbona akina Nyerere walikuwa na magufuli na leo hawaonekani enhee nao vipi wamekata tamaa?
Naskia et kaogopa mziki wa Magufuri kashaona upepo wa kushindwa
Hebu nikumbushe Saddam Hussen alitokea nchi gani?
Nchi ya kujinyea i think nzega stand. Mtaa kamuulizie yule mgombea wa upinzani aliyekata gogo hapo hapo nzega
JUMA DUNI KAPOTELEA WAPI?
Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.
Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.
Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa
The same to me
Labda mgonjwa
Dhamira imemsuta kujitoa cuf kaamua kurudi kimyakimya.
Sa si useme bab Duni alipo!!
Itakuwa kama likizo ilee aliyozushiwaga Slaa.
Amepumzika sababu jeshi la Lowassa na Sumaye linatosha ameona ajiandae kukabili shughuli za kutumikia wananchi kwani wanasubiria kuapishwa tu
VIVA UKAWA!!