Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Kama CCM wangekuwa siyo VIWAVI njaa vya kukimbilia UONGOZI nadhani safafri hii wangeacha kabisa kuteua wagombea kwenye nafasi zote ,wakawaacha wapinzani tu.

Ila kwasababu wote wanasiasa wanataka kushika DOLA/MADARAKA basi wote ni VIWAVI wanaotafuta maslahi binafsi kwanza ya TAIFA baadaye.

Safari hii hatudanganyiki hata baada ya kutuambia GADAFI ni rais wa .................

Hongera sana mpiganaji
 
Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal

Vijijini kuna wapiga kura wengi sana hawana access ya mitandao
 
Unajifurahisha sana gamba, kwa taarifa yako hakuna hata sehemu moja ukawa imewahi kuzomewa kama wanavyo zomewa ccm.angalia mkutano wa ccm huo

Huyo jamaa sijamwelewa
Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal
 
Wameshaanza kukimbia mmoja mmoja, Ukawa haina haki kwa vyama vingine, chadema wanaendesha siasa za kibabe kwa wenzao
 
Hongera sana mpiganaji

Rafiki hawa wamezidi sana kila siku wapinzani wanapenda MADARAKA lakini wao kuyapata tu lazima wahonge,sasa sijui yupi hapa anayependa.Kama hawapendi siwaache kugombea nafasi zote????
 
Rafiki hawa wamezidi sana kila siku wapinzani wanapenda MADARAKA lakini wao kuyapata tu lazima wahonge,sasa sijui yupi hapa anayependa.Kama hawapendi siwaache kugombea nafasi zote????

Kweli Tetty
 
jf imekuwa sehemu ya hovyo kweli,kuna lundo la wajinga wengiiii wameletwa na ccm kushambulia hoja zao zinatia mpaka aibu,mfano hapo umeongea nini? pole sana kama ungesoma shule usinge andika ujinga huu hapa.Kama ndiyo kampeni ndiyo hizi za ccm basi nchi hii imekwisha.

Kuna waliojidai JF ni jukwaa la Bavicha.
Sasa wanalialia kama ndorrrrobhoooo
 
Hivi ameshaonekana tena Bahu Duni? Maana naona tu majibizano ya kitoto humu. Kwanza mlidai kaenda kuhiji ila sasa naona zaidi ya wiki Babu hajapanda jukwaani na ratiba yake inaonyesha alitakiwa kuwa ziarani. Mtujibu Ukawa tujue kimoja.
 
KWA TAARIFA DUN HAJI WIKI MBIL HIZ YUKO BIZEEEEEEEE

ANABARGAIN NA DACTAR MKUU WA SERIKALI JINSI GAN NA KIASI GAN KITOLEWE

ILI KUKAMILISHA MCHAKATO WA KUKATA JIGOVI LILILO KOMAA LA MUHUSKA WOTE TWAMJUA!!!!apo chacha
 
Back
Top Bottom