Kwenye picha ya Meza Kuu katika mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi wa chama cha CUF kilichoketi huko Znz,anaonekana kada na mwanachama wa CHADEMA na mgombea mwenza wa Urais wa Tz kupitia UKAWA Babu Duni Haji akiwa kiti cha mbele kabisa.
Baraza hilo la Uongozi wa CUF limekutana ili kujadili hali ya kisiasa ktk visiwa vya Zanzibar,lkn nimeshangaa kumuona kada wa Chadema BABU DUNI HAJI akiwa "High table" kwenye meza ya viongozi wa CUF,Je alipata mualiko au ndio karudi kwenye chama chake cha zamani kimya kimya?View attachment 304690View attachment 304691
Lini Duni alihama CUF
Anawakilisha CDM, katumwa na Mbowe. Chadema haikuwasimamisha wanachama wake kwa urais na makamu wake,EL na Duni walikuwa makamanda wa kukodiwa,walichukuliwa kwa mkopo. 1st 11 ilikuwa imejaa kwenye timu mama. Oparesheni imeisha,wameshindwa,kila mmoja anarudi kwake. Hata EL atarudi CCM
Afadhali hili genge la wahuni liendelee kusambaratika
Hawa wahuni tu walitaka kutuharibia nchi
Si Lazima arudiCUF. Hapo alipo yuko sawa kabisa. Anaweza kuwa CHADEMA na akawa anafany shughuli za CUF. UKAWA sote tuko pamoja.
Hao hawana cha maana.
Wakiacha kubwabwaja watakosa ruzuku.
Hao hawana cha maana.
Wakiacha kubwabwaja watakosa ruzuku.
Jumapili hii rais wetu ameshiriki misa katika Kanisa Katoliki parokia ya St. Peter, Oysterbay.Hao hawana cha maana.
Wakiacha kubwabwaja watakosa ruzuku.