Juma Baya.

Juma Baya.

Capitano

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
1,959
Reaction score
1,635
Juma aliajiriwa kwa muhindi kufanya kazi za ndani lakini mama wa kihindi akamzimikia. Basi wakawa wanadonoana kwa siri. Siku moja wakati Juma anammega mama wa kihindi jikoni si wakafumaniwa na watoto wa yule mama wa kihindi, wee wale watoto wakaanza kumpiga Juma lakini majirani walipojaa na kutaka kumuadhibu Juma wakidhania ni mwivina kuanza kuhoji kaiba nini, watoto wa kihindi wakadai hii Juma sio mizi ila Juma baya wakiogopa kudisclose yalitokea. Basi ikabaki Juma baya, Juma baya huku wakiendelea kumchapa. Hadi leo Jamaa anaitwa Juma Baya.... Duh!!!
 
Avatar yangu inanivunja mbavu mkuu.....
 
Back
Top Bottom