slimshedy
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,049
- 1,012
Kwasababu kampa baba,mama au ndugu zako vyeo siku wakifukuzwa ndoutajua kwanini MWL nyerere aliyasema hayo.uongozi nikipaji unaweza kuwa mkali na watu wasifanye Kazi wakakukomoa kwa kufanya Kazi za hovyo lakini unaweza kuwa mwenye busara watu wakajituma kufanya Kazi kwa weledi na ufanisi mkubwa,muda ndio msema kweli siku hazigandi tutayaona hayo mafanikio ya utumbuaji 2020 kama yatajenga viwanda na kuinua uchumi wa nchi,anaowaongoza sio mbuzi wala ng'ombe ni binadamu wanaakili tusubiri mudaMtatafuta reference zote ku-justify wanaotumbuliwa ila JPM yuko sahihi, JKN anasmaili sasa hivi huko juu kwa kusema That's my boy (JPM), keep goin!!