Julius Mtatiro ndiye 'Sunday Charles'?


HR you better start thinking on giving up, you are as good as irrelevant imbecile. Wewe ndio haueleweki kabisa, haujulikani unatetea nini! Sio mpinzani, sio CCM; plain dumb!
 
maelezo hayajitoshelezi kuufanya mjadala uendelee.

Ni kashfa nzito iliyotolewa na viongozi watatu waliojiengua CUF kupitia vyombo vya habari. Yeye hajatoa maelezo ya kutosha kukanusha ikiwemo hiyo kesi, tunamsubiri Sunday Charles atueleze alivyoiba jina hahahahaha
 
Guys! give the man a break! You have chosen your party and he has chosen his! Isiwe nongwa yeye kutokuwa CDM. Kama mnamuona jembe si bora mumuendee kistaarabu?
Wewe ni nani unatukataza tusimjadili....Eti ni jembe hahahah labda kisu cha bati
 
Anasubiriwa agombee ubunge ashinde watu wapeleke vielelezo mahakamani!
 
Jamani kwa ni marifuku mtu kubadili majina au kujiongezea majina baada ya kupewa ya utotoni? Kwani ubaya uko wapi wa Julius Mtatiro kuwa na majina manne? mbona babu yangu alipewa majina tofauti tofauti katika wakati anakua. Alipozaliwa alipewa jina la Juga, alipooa jina la Juga lilipoteza umaarufu na kupewa jina na Mkulima kwa vile alikuwa mkulima hodari. Alipokuwa mtu mzima jin ala Mkulima lilipoteza umaarufu na Jina la Mwantingo likapata umaarufu. hivyo wajukuu wake tunaitwa (kama mimi naitwa Jaston Juga Mkulima mwantingo. Na yote tunayakubali kama majina halari ya babu yetu
 
Waliofoji ni wengi kwa uchache tu john heche anaitwa wegesa charles,makongoro mahanga,unaweza kuendelea kuwakumbuka.
Makongoro Mahanga, Mjaluo aliyelelewa ujombani nadhani pale Mugumu, sasa wale wa Mara wanajua Makongoro ni jina la kijaluo?? just curious to know,
 
je aliendelea na shule ya sekondari na kufaulu? kama aliendelea na kufaulu jaman hapo hakutokua na mjadala zaid ya kusema alikua OK kufanya vivyo kwani itaonsha alikua na uwezo wa akili mana kwa TZ ya sasa form 6 is nothing ndio iwe maada kwa darasa la 7
 
Kwanini haya yaje wakati huu jamaa ameshapata jina kisiasa? tena waleta hoja wanadai vyanzo vya habari ni kambi ya Hamad Rashid na wengine wanasema ni Clouds Fm kipindi cha XXL?Mimi nadhani ni zile zile siasa za kuchafuana ndiyo zinazoendelezwa hapa!!
 
Kweli mkuu hiyo habari ni vague, unamaanisha kuwa Mtatizo aligushi vyeti au????????????
.....ana maanisha Mtatiro alikariri darasa/madarasa lakini halina uhusiano na kufoji vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…