Wangapi kwanza?nitumie namba ya mnyeti kuna mzigo mkuu
Wameangalia maslahi ya Taifa kwa jicho chongo na hivyo kupoteza fursa adimu ya kulitumikia Taifa.Kumbe wewe unaangalia vyeo vya kisiasa kuna wengine hawaangalii vyeo wanaangalia maslahi mapana ya taifa hata bila vyeo wako tayari kulitumikia taifa lao.
nani mwingine kwenye project yenu ya manunuzi naweza kumpata kwa haraka?Sina namba yake mkuu...ningekutumia!
Back to topic
watatu wako karatu hapaWangapi kwanza?
acha utani kwenye mambo ya msingi nitasitisha biashara. mnataka popularity halafu unaleta majibu ya shomboMuulizie Mwenyekiti ana experience ya kununuliwa na mgombea Urais!