Julius Mtatiro anatamani viti maalum vya kiume

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
kauli zake,
Matusi yake,
Ujinga wake,
Upuuzi wake,
Kichaa chake;

ANATEGEMEA KUONYESHA JEURI DHIDI YA CDM ETI JK ATAMTEUA VITI MAALUMU NA YEYE AENDE MJENGONI KUIMARISHA KAMBI ISIYO RASMI,KESHAKUWA TONDO KABISA AISEE CUF HAKIFAI ,KIMETUHARIBIA WAZIRI MKUU WETU NA MKUU WA TAHILISO LOO,KWA HERI MTATIRO SIHASA ZA CUF ZIMEKUTENDA
 
Aende CCM huko atapata,ila akubali kuvaa sketi, haoni mwenziwe Tambwe Hizza anavyotesa, kanawiri **** **** ,shavu dododo, anamerermeta.
 
Kabla ya hapa huyo mtatiro sikumfahamu. Lo! kumbe wanaubungo walijua kuwa hili ni buya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! na hivo wakalinyima kura. cuf kwa zanzibar sawa lakini bara watakuwa kama chama cha DP.
 
MTATIRO NI BWABWA SIKU NYINGI NA HUKO KAFU ALIPOENDA WAARABU NA WAPEMBA WANAMFAIDI KWELI

wapemba wamepata bibi mpya,
 
wagalatia msio na akili kwa hiyo huko cdm nanyi mnamiminana kwenye madhabahu na wachaga au siyo! Baada ya kupiga kitimoto na mbege halafu unachukua mke wa mtu unasema mchumba'ako
 
wagalatia msio na akili kwa hiyo huko cdm nanyi mnamiminana kwenye madhabahu na wachaga au siyo! Baada ya kupiga kitimoto na mbege halafu unachukua mke wa mtu unasema mchumba'ako

LAIMA UTAKUWA MCHAFU TUU KAMA mtatiro,ENDELEENI KUCHAFUANA MTAIPATA FRESH TUU KWANI NIJUAVYO KUFIKIA 2013 CUF ITAKUWA IMEMEZWA NA CHAMA FULANI SIO CCM ILA MTAMEZWA NA MASHOSTITO WENU
 
Anafanya hivyo ili kujishawishi kuhamia chadema lakini bahati mbaya chadema tunahitaji wajenga hoja na siyo wapiga kelele kama yeye. Hana nafasi ndani ya chadema labda aende ccm wakampe nafasi ya mkurugenzi wa uropokaji.
 
kauli zake,
Matusi yake,
Ujinga wake,
Upuuzi wake,
Kichaa chake;

ANATEGEMEA KUONYESHA JEURI DHIDI YA CDM ETI JK ATAMTEUA VITI MAALUMU NA YEYE AENDE MJENGONI KUIMARISHA KAMBI ISIYO RASMI,KESHAKUWA TONDO KABISA AISEE CUF HAKIFAI ,KIMETUHARIBIA WAZIRI MKUU WETU NA MKUU WA TAHILISO LOO,KWA HERI MTATIRO SIHASA ZA CUF ZIMEKUTENDA

Acha siasa za chuki wewe m....nge. Usidhani unaweza kumshawishi kila m2 awe chama unachotaka wewe. wewe umeshalishwa unga wa ndele kiasi ambacho unaamini fikra sahihi haziwezi kuja kwenye chama kingine zaidi ya kile unachokiabudu. Huo ni UPOTOFU.
 
kila akilala anamwota Mnyika huyo, tulimwonya asigombee Ubungo hakutusikia!!
 
halafu huyu jamaa naoma kama sio mtu huru kabisa,au he is independent but not seen to be independent , naona anaiga kila kitu kutoka kwa mwenyekiti wake hata kuongea ..............tumvumilie labda akikua atabadilka.
 
kila akilala anamwota Mnyika huyo, tulimwonya asigombee Ubungo hakutusikia!!

Angegombea wapi?? lengo lake lilikuwa apambane na CDM ili kumuondoa mnyika kwa vigezo vile vile ambavyo wengi wanavisema humu!!! hakutaka kwendakwenye majimbo mengine mana kulikuwa na watu wake na kaka zake...udini umemuharibu huyu dogo na ndio wanakiharibu chama chote
 
matusi ya nini?hamuwezi jadili mapungufu ya mtu bila kumtukana......ni kiongozi wa watu kama nyie pia.....grow up!!!!!
 
kama uchaguzi utarudiwa leo nadhan CDM hawatapata hata huko ARUSHA, wanachochea vurugu makazini na vyuoni kwa faida ya nani ?tumeshawastukia.
NI BORA MTATIRO KULIKO SLAA.
 
matusi ya nini?hamuwezi jadili mapungufu ya mtu bila kumtukana......ni kiongozi wa watu kama nyie pia.....grow up!!!!!
Well said lady! You have more brains in your little finger than the whole bodies of these blind CDM crooks!
 
Angegombea wapi?? lengo lake lilikuwa apambane na CDM ili kumuondoa mnyika kwa vigezo vile vile ambavyo wengi wanavisema humu!!! hakutaka kwendakwenye majimbo mengine mana kulikuwa na watu wake na kaka zake...udini umemuharibu huyu dogo na ndio wanakiharibu chama chote

Mkuu ulitaka agombee wapi ilhali sehemu pekee aliyokuwa anafahamika hapa Dar ni Mlimani ambayo ni sehemu ya Jimbo la Ubungo?

Kushinda na kushindwa ni sehemu ya siasa na mwisho wa uchaguzi mmoja ni mwanzo wa kampeni za uchaguzi mwingine. Kwa namna Julius anavyoitumia nafasi yake CUF kuwa msemaji wa wananchi katika masuala mbalimbali na kuongoza maandamano ya kuipinga serikali katika masuala yanayohusu haki na ustawi wa wananchi ndivyo anavyozidi kujiongeza nafasi ya kufanya vizuri zaidi katika jimbo lolote atakalopenda kugombea 2015.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom