Julius Malema wa Tanzania yuko wapi?

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
774
Julius-Malema-007.jpg

As much as baadhi ya watu humu wapenda status quo lakini ukweli uko pale pale.

We are tired of these political elites ambao ni mzao wa Nyerere. watu wana miaka zaidi ya 60 lakini utawaona kwenye front bench politics na hawaishi ku play politics mpaka na uchumi

Kwa nchi ambayo 70% ya population ni vijana wenye chini ya miaka 30 its a disgrace kuona over 90% ya viongozi wake (ambao so far wametufikisha kwenye hii balaa ndio wamejikita kila kona) wana umri uliozidi 60 na kuendelea

Imagine the likes of wasira au Anna Abdallah au etc ni kama ma dinosaurs na utashangaa kuona watu bila aibu wala haya wanakuja humu JF kumfanyia kampeni Lowassa aje kuwa rais baada ya ku mess up alipokuwa madarakani

Binafsi nadhani wananchi have had enough of these old men and their oldboy network, tukaachana na mambo ya kuwapa nafasi wanawake kwa sababu tuu ya jinsia na politcal correctness na pia tukaacha hizi party politics ambazo hazitufikishi mahala

Nashauri kama wapo the likes of Julius Malema ambaye jana gazeti la Forbes limemtabiria kuwa anaweza kuja kuwa the next SA President simply because wananchi have had enough of those from elite backgrounds that are out of touch na wananchi wa kawaida

To be honest I care less na chama atakachotoka the next Julius Malema wetu awe CCM au CHADEMA au CUF, I care less as long as huyo mtu ni below 35 years na ambao wana uwezo.
 
Last edited by a moderator:

HADJ DROGBA

Member
Dec 16, 2009
67
9
Julius Malema....dogo mtata huyu, hapendi wazungu, anamkubali sana Mugabe, anasema Mugabe is a true son of Africa, haogopi kumsemea ovyo mtu yeyote, ni rais wa ANC youth league, ni kijana aliyekuzwa na Jacob Zuma lakini alipotofautiana naye alimsemea mbovu vilevile.

Soma hizi ni cheche zake za juzi tu hapa halafu upime je BENNO MALISA anaweza kumsemea ovyo JK au Lowassa kama akifanikiwa kuupata huo urais unaomnyima usingizi?Malema blasts Zuma on eve of hearing
MOIPONE MALEFANE and SIBUSISO NGALWA | 11 September, 2011 10:02

Malema+Luthuli+House+

ANCYL president Julius Malema addresses the crowd on August 30 2011 outside Luthuli house in Johannesburg during his disciplinary hearing. File photo.

Image by: AFP PHOTO / PABALLO THEKISO

A defiant Julius Malema has thrown down the gauntlet, daring President Jacob Zuma to fire him and stopping just short of calling for a nationwide youth rebellion.

Speaking yesterday - a day before his re-appearance at an ANC national disciplinary committee (NDC) this morning - Malema told his supporters in Setjwetla, an informal settlement in Johannesburg's Alexandra township, that the ANC Youth League would "never kneel and ask for forgiveness".

"There is no crime we have committed ... They should know that we will never ask for forgiveness.

"This is a war. In a war, never expect red roses, and in a war there are casualties. But we can guarantee that we will win," Malema said.

Malema, youth league deputy president Ronald Lamola, secretary-general Sindiso Magaqa, his deputy Kenetswe Mosenogi and treasurer Pule Mabe will know this morning if the NDC has found them guilty of barging into a meeting of ANC bosses without permission last month.

The firebrand youth leader will then spend the next three days answering three more charges - relating to his calling for a "regime change" in Botswana; calling white people thieves; and bemoaning the lack of strong leadership in Africa since the recall of former president Thabo Mbeki.

Although the ANC has kept the venue for the disciplinary hearing secret, the Sunday Times understands that it will be held in Kliprivier, south of Johannesburg.

If found guilty, Malema could be expelled or suspended for a lengthy period from the ANC.

But yesterday he was in no mood to repent, vowing to fight the ANC leadership to the end.

"Anybody who says we have contravened an ANC policy by saying they [whites] have stolen the land, they must tell us which policy we contravened.

"If we have come to the end, let it be so. If you are angry with Julius, don't destroy the ANC Youth League. It doesn't belong to Julius ... but because you do not come from the youth league, because you are myopic and you know nothing about the politics of the ANC, you want to destroy the work of Nelson Mandela," he said.

He suggested that ANC leaders were taking action against him because he wanted economic transformation.

"Because we are saying we are going to take from white minority and give to black majority ... they assure whites that this person who is leading the struggle, we will remove so that you continue accumulating wealth.

"Instead of defending economic freedom, they have kept us in a room [where the disciplinary hearing is being held].

"We cannot do anything, we are arrested, we must explain ourselves in some small room. The revolution is undermined by air-conditioned small rooms."
He told the crowd that the ANC would cleanse itself next year when new leaders, who would champion the issues of the poor, were elected.

"In 2012, the ANC will correct itself and elect good leaders," he said.

He urged the poor to protest against unemployment and lack of service delivery.
"On the birthday of OR Tambo, organise marches throughout the country. March demanding jobs and houses," he said.

When he appeared before the NDC two weeks ago, Malema was equally defiant.

According to insiders, he told the hearing that he knew that members of the NDC had been "instructed" by senior leaders of the ANC to expel him.

Malema's camp is planning to call as many witnesses as possible to defend him against possible expulsion or suspension.

"This will not be an easy process. We are going to call more than 20 witnesses including senior ANC leaders and branch members," an insider in Malema's group said.

If he loses this week, Malema's plan is to approach the ANC national executive committee for support, hoping it will overturn the ruling.

Malema will go into his hearing this morning having scored a minor political victory over Zuma after the cabinet expressed displeasure about the Botswana government's recognition of Libya's national transitional council.

While Malema has been charged for ill-discipline for advocating "regime change" to remove Botswana's "puppet" government, he found allies in the cabinet on Wednesday.

The Minister of International Relations, Maite Nkoana-Mashabane, briefed the cabinet about Botswana's decision to break ranks with the African Union position not to recognise the Libyan council as the country's interim administration.

Apparently cabinet members were angry about Botswana's move, although the cabinet released only a mild statement restating South Africa's commitment to the AU's road map on Libya.

The Sunday Times has learnt that some cabinet members felt Malema had been vindicated on his statement about Botswana working with the Americans.

ANC spokesman Jackson Mthembu rejected as "nonsense" speculation that senior ANC leaders wanted Malema suspended.

"We are not a kangaroo organisation. Why would he be appearing before a DC [if the case had already been decided?] Malema will get an opportunity to explain himself.

"Not even the NDC knows what the outcome will be because that is dependent on the evidence."

He would not speculate on what sanction Malema would face if he were found guilty.
 

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,230
1,383
Namkubali sana Julius malema,anajiamini na si mnafki hata kidogo ,hana njaa kama za viongozi vijana wa Tz!kumpata kiungozi yule inabidi asilimia 80 ya kizazi cha nyerere kife!
 

MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,307
6,335
"This is a war. In a war, never expect red roses, and in a war there are casualties. But we can guarantee that we will win," Malema said.

"Anybody who says we have contravened an ANC policy by saying they [whites] have stolen the land, they must tell us which policy we contravened.

Nimeyapenda haya maneno sisi huku ardhi tunawapa tuu !
 

We Know Next

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
797
363
Kwa kweli stroy hii inatupa changamoto kubwa watanzania. Mhe. Zitto mwanzoni alianza kujipambanua ktk muelekeo huu, sina uhakika kama kwa sasa ikoje. Ila Malema is a lesson to all of us!
 

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
179
Hebu tendeni haki, mbona vijana hawa sasa TZ wapo?au mnataka niwataje kwa majina?.....
 

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
554
Mi namwona John Suguta Heche kama mtu anayeweza endana na spirit za kama akina Malema Julius
 

WildCard

JF-Expert Member
Apr 22, 2008
7,510
2,395
Kitakachoiokoa nchi hii ni taasisi au asasi zenye nguvu sio mtu au watu wenye nguvu. Akina Rostam na Lowassa walikuwa na nguvu sana mwaka 2005. Wakatupatia JK. Nyote humu mnalia nae. Haya, huyo Malema mwenyewe alihakikisha JZ anakuwa Rais huko kwao. Sasa anataka kumgeuka tena!
 

Alwatan

JF-Expert Member
May 19, 2009
409
126
Mkuu wangu SR,

Huyu dogo kwa bahati mbaya sana, ni mmoja wa new elites kule South Africa. Anatake advantage ya walalahoi kujipatia cheap popularity na kuendeleza racially charged rhetoric, while at the same time anaishi maisha ya kifalme.

Binafsi naomba niseme sitaki wala sitamani kiongozi wa aina ya Julius Malema aje Tanzania. Kwanza anarecord ya kuvunja kanuni katika kufikia malengo yake ya kisiasa, reffer vurugu alizoorchestrate wakatinwa kumpindua Mbeki na kumuingiza Zuma kuwa Chairman wa ANC.

Malipo yake yamekua ni ukwasi wa kutisha, ana mali nyingi kuliko mapato yake halali. Anatumia economic hardships za weusi kujiwekea mazingira ya kubaki kuwa relevant. I would rather have a Nyerere reborn, than a Julius Malema. Nyerere alikua mtu asiyependa makuu na aliishi kwa mfano, yani alifanana na watu wake.

Huyu Malema akijapewa urais nafkiri atakua the next Robert Mugabe, yeye anaagiza Mercedes Benz Maybach na shopping za Harrods, wakati wananchi wake wanapanga foleni ya unga. Lakini anajua aseme nini ili awape hope na kublame all others except himself.

For another perspective ya Julius Malema, soma hii link
Julius Malema For Finance Minister -  MSN ZA News
 

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
16,190
22,259
Jana nilikuwa namsikiliza channel E huyu jamaa namkubali sana ni aina ya vijana tunaowakosa Tanzania.
 

WildCard

JF-Expert Member
Apr 22, 2008
7,510
2,395
Jana nilikuwa namsikiliza channel E huyu jamaa namkubali sana ni aina ya vijana tunaowakosa Tanzania.
Wapo akina Zitto ingawa wao wanayapeleka mambo kishule na kidiplomasia zaidi. Malema ni aina ya Mtikila tulietaka kuwa naye na sera zake za "walalahoi", "ma*********", na mambo yenye mvuto masikioni kama hayo.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,340
38,978
Tatizo ni kuwa hawa wazee wa miaka 60 walipoingia madarakani enzi zao ndio walikuwa vijana wenyewe wenye maneno motomoto. Ndio walikuwa kina Mulema wenyewe. Tukitaka kurudia makosa tuanze kuangalie umri kama kigezo cha msingi. Miaka hamsini baadaye kizazi kingine kitatushangaa na wao wataanza kulilia vijana tena. UONGOZI NI UWEZO SIYO UMRI.
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
774
Mkuu wangu SR,

Huyu dogo kwa bahati mbaya sana, ni mmoja wa new elites kule South Africa. Anatake advantage ya walalahoi kujipatia cheap popularity na kuendeleza racially charged rhetoric, while at the same time anaishi maisha ya kifalme.

Binafsi naomba niseme sitaki wala sitamani kiongozi wa aina ya Julius Malema aje Tanzania. Kwanza anarecord ya kuvunja kanuni katika kufikia malengo yake ya kisiasa, reffer vurugu alizoorchestrate wakatinwa kumpindua Mbeki na kumuingiza Zuma kuwa Chairman wa ANC.

Malipo yake yamekua ni ukwasi wa kutisha, ana mali nyingi kuliko mapato yake halali. Anatumia economic hardships za weusi kujiwekea mazingira ya kubaki kuwa relevant. I would rather have a Nyerere reborn, than a Julius Malema. Nyerere alikua mtu asiyependa makuu na aliishi kwa mfano, yani alifanana na watu wake.

Huyu Malema akijapewa urais nafkiri atakua the next Robert Mugabe, yeye anaagiza Mercedes Benz Maybach na shopping za Harrods, wakati wananchi wake wanapanga foleni ya unga. Lakini anajua aseme nini ili awape hope na kublame all others except himself.

For another perspective ya Julius Malema, soma hii link
Julius Malema For Finance Minister - *MSN ZA News


majibu yako haya hapa:Malema has crafted his campaign for "economic freedom in our lifetime" as a struggle similar to that waged by Nelson Mandela and his comrades to radicalise an ANC that would not take up the armed struggle in the 1950s even as apartheid became increasingly entrenched and bitter. In the squatter camp on Saturday, he cast himself as a martyr: "If we have come to the end, let it be so. If you are angry with Julius, don't destroy the ANC Youth League. It doesn't belong to Julius … but because you do not come from the youth league, because you know nothing about the politics of the ANC, you want to destroy the work of Nelson Mandela."
He then cut a cake delivered in a Porsche by a celebrity known for eating sushi off naked women. The crowd loved it.
This is part of the contradiction of Malema. Even as he is vilified by the press for his association with crass celebrities and the flaunting of his incredible wealth with inexplicable origins,ordinary people say "what's wrong with Juju making money". In him, many see themselves. In him, many see a man who takes on an untransformed South Africa and champions their cause.


Is Julius Malema South Africa's president in waiting? | Justice Malala | World news | The Guardian
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
774
Tatizo ni kuwa hawa wazee wa miaka 60 walipoingia madarakani enzi zao ndio walikuwa vijana wenyewe wenye maneno motomoto. Ndio walikuwa kina Mulema wenyewe. Tukitaka kurudia makosa tuanze kuangalie umri kama kigezo cha msingi. Miaka hamsini baadaye kizazi kingine kitatushangaa na wao wataanza kulilia vijana tena. UONGOZI NI UWEZO SIYO UMRI.


hivi unajua nani anayepiga vita Ikulu kuwa na website?
 

kajembe

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
958
403
Huyo malema ni kweli amejilimbikizia mali nyingi sana kwa kutumia madaraka aliyonayo! na anawatumia maskini kujineemesha mwizi tu hana lolote,

Tatizo la waafrica wa hapa south Africa wasio soma au tuseme wenye uelewa Mdogo wepesi sana kudanganyika na siasa za misisimuko au tuseme siasa za aina ya dini ya kilokole yaani siasa za misisimko.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

8 Reactions
Reply
Top Bottom