Julio wa Simba apoteza cheti chake

Julio wa Simba apoteza cheti chake

Kuna watu wana akili finyu sana humu, eti kwa kuwa Julio anabwabwaja basi hajasoma. Mwingine anadiriki kusema 'eti' hata darasa la saba anaweza kuwa hajafika. Wale wenye shahada za uchumi kule bungeni na bado wanaongea pumba hamuwaoni? Kihwelu ana kauli za kufurahisha, huwezi kuacha kumsikiliza na huwa haongei pumba.

Kuhusu elimu ana diploma ya Ukocha na leseni ya CAF, sasa sijui hivyo vyote aliokota jalalani?
 
niliandika siku moja kule kwenye thread yake

akiiioonyesha cheti chake cha form nakunywa sumu kabla ya kumlambisha waziri wa elimu wa sasa anisaidie alifanya mtihani wapi
 
Kuna watu wana akili finyu sana humu, eti kwa kuwa Julio anabwabwaja basi hajasoma. Mwingine anadiriki kusema 'eti' hata darasa la saba anaweza kuwa hajafika. Wale wenye shahada za uchumi kule bungeni na bado wanaongea pumba hamuwaoni? Kihwelu ana kauli za kufurahisha, huwezi kuacha kumsikiliza na huwa haongei pumba.

Kuhusu elimu ana diploma ya Ukocha na leseni ya CAF, sasa sijui hivyo vyote aliokota jalalani?

Mkuu kuhusu Elimu Apeleke kwanza Cheti Cha Form 4..Hayo mengine yatafuata..
 
Basi itakuwa 1961 mk uu!

Mwaka 1961 Tanganyika ilipata UHURU na 1962 ikawa JAMHURI. Maana yake ni kuwa kati ya 1961 na 1962 head of State alikuwa Malkia n tulipopata Uhuru akakoma kuwa mkuu wa nchi. Thats why mwaka 1961 NYERERE alikuwa Waziri Mkuu na sio Rais
 
Asante sana mkuu,hii nondo yako imeniongezea kitu kikubwa kwenye haya mambo ya civics
 
Nijuavyo mimi sekondari alisoma (kama sio kuhudhuria) Kinondoni (MUSLIM) na alipata 0 ........ hakuna cheti hapo

duuuh mbona hata Mzee Dalali alikuwa mwenyekiti na elimu yake ni darasa la 4.!? sie simbafc tumezoea kufundishwa na vilaza.
 
Mkuu kuhusu Elimu Apeleke kwanza Cheti Cha Form 4..Hayo mengine yatafuata..

Unatakiwa ufikirie kwa akili ya kawaida ya kuvukia barabara, kama mtu anakuwa diploma anakosa vipi cheti cha CSEE?

Kupoteza nyaraka ni jambo la kawaida, watu wamepoteza ndege yenye mamia ya abiria sembuse hako kacheti ka NECTA, hembu kuweni kama watu wazima wakati mwingine.
 
Hapa mjini huwezi kulia kwa sababu za kupoteza cheti;
Ni rahisi sana kupata nakala halisi kama utakuwa
na kumbukumbu sahihi.

Aseme tu alisoma out of class.
 
Hahahah Julio atoe wapi cheti! Mzaramo yule na shule wapi na wapi!

Anatafuta janja tu ili aweze kupata nafasi ya kugombea ila cheti hana na hajawahi kuwa nacho
 
Unatakiwa ufikirie kwa akili ya kawaida ya kuvukia barabara, kama mtu anakuwa diploma anakosa vipi cheti cha CSEE?

Kupoteza nyaraka ni jambo la kawaida, watu wamepoteza ndege yenye mamia ya abiria sembuse hako kacheti ka NECTA, hembu kuweni kama watu wazima wakati mwingine.

well said mkuu, sometyme watanzania huwa hawafikirii wanachokoment ndo maana tunaambiwa IQ zetu ni pumba tupu...
 
Back
Top Bottom