Mwaka gani?Nijuavyo mimi sekondari alisoma (kama sio kuhudhuria) Kinondoni (MUSLIM) na alipata 0 ........ hakuna cheti hapo
Advance Diploma ya nini, mwaka gani alihitimu na kupitia chuo gani?Julio ana advanced diploma kwa taarifa yenu ambao mna mashaka na elimu yake
Julio ana advanced diploma kwa taarifa yenu ambao mna mashaka na elimu yake
Kocha Julio akiwa katika harakati za kugombea nafasi ktk chama Simba,amepotelewa na cheti chake cha form four.Hii inampa wakati mgumu mgombea huyu kutokana na vigezo vya kugombea ktk club hiyo.MY TAKE:NO COMMENT

Kama amepotelewa na cheti kweli mbona NECTA inatoa Statement of Result, aende NECTA akapatiwe taratibu za kupatiwa nyaraka hiyo....kama ni kweli alisoma hiyo form four mbona kumbukumbu zitakuwepo NEC. Tatizo liko wapi? Na hao wengine waliopeleka vya kwao NEC wanaweza kuvihakiki! Kamati ya uchaguzi iwasilie na NEC na walipie hiyo huduma ipo
Wewe utakuwa kambi ya Kaburu Nyange huna lolote,kwa taarifa yako hata huyo Kaburu Nyange hana hata hiyo form four
Maskini...hiki cheti kimepotea muda mbaya!
Wakuu nimetoka mchana huu ofisi za PSI maeneo ya Bamaga, nimemuona Jamhuri Kihwelo "Julio" akitoka ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania. Bila shaka atakuwa amelifanyia kazi wazo la kuchukua Statement of Result"....
Huyu jamaa si Engineer?
Sasa kama ni Engineer anatafuta nini Simba, si atafute tenda akajenge madaraja yetu yaliyobomoka ambayo hayapitiki?Ukishaona club yoyote ya hapa Tanzania inaongozwa na mtu alieajiriwa kwingine jua ile anaitumia tu kumkeep busy wala hayupo serious.Itakuwa yaleyale ya Rage na uenyekiti wa Simba huku akiwa mbunge, wewe huoni hata akina Magori waliona ngoma ngumu wakaachia ngazi ili waendelee kukamua NSSF? You can not save two masters at the same time inakuwa kama wale jamaa wanaotudanganya eti unaweza kuwowa wanawake wanne then ukawapa haki sawa hahahaha never on earth