The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Nasikia jamaa tokea aanze muziki ashalala na wanawake 3000, sasa ingekuwa ndo enzi hizi za sasa angeshaukwea ukimwizzz!
yeah na hawa pia:
Peabo Bryson
Loniel Rich
Usisahau pia Moonlight Lady, Hey na Me Va Me Va. kabla ya kuwa mwanamuziki alikuwa golikipa wa timu ya mpira wa miguu!
Yah ni kweli kabisa mkuu alishakuwa kipa wa Real Madrid miaka ya 1970...JULIO THE LEGEND!
acha uwongo wewe,,,, leta ushahidi