Hongera kwake naona wanamtangaza sana huenda akala uteuziKutana na Juliana Shonzaa kwenye website ya UDSM kama alumni of the month.
Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana.
Hongera dada.
NB: Nimeambatanisha PDF ya wasifu.
Anajtangaza mwenyewe huyo mkuuHongera kwake naona wanamtangaza sana huenda akala uteuzi
Shonza huyu tunaye mjua tabia zake au unamzungumzia Shonza wa Uganda?Kutana na Juliana Shonzaa kwenye website ya UDSM kama alumni of the month.
Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana.
Hongera dada.
NB: Nimeambatanisha PDF ya wasifu.
Huu wimbo unamhusu sana shonzaaKuna wimbo mtaani huwa wahuni wamebadili wanaimba, danga danga mpaka ufe, danga danga mpaka ufe....
Sijui kama una uhusiano na uzi
Everyday is Saturday................................
Wacha bhana kutoka kutelekezwa na nanunuuuHongera kwake naona wanamtangaza sana huenda akala uteuzi
Huyu aliwahi kuwa naibu waziri wa mwakyembe kwenye habari na aliishia kumkaba Koo amber r ila mengine alichemka! Hivi hakuupata ubunge Tena?Kutana na Juliana Shonzaa kwenye website ya UDSM kama alumni of the month.
Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana.
Hongera dada.
NB: Nimeambatanisha PDF ya wasifu.
Kama Sara msafiri???Hamka kitu huyu, mgawaji tu,
Wizara ya habari kazi yake kubwa ni kujinga uhuru wa habari.... anayejua kazi nyingine anijuze.Huyu aliwahi kuwa naibu waziri wa mwakyembe kwenye habari na aliishia kumkaba Koo amber r ila mengine alichemka! Hivi hakuupata ubunge Tena?
Kwanini wewe cha kwako kisikupaishe?Kitumbua kinampaisha, hamna kitu hapo, rubbish