Juliana Shonza amlipua Mbowe

Juliana Shonza amlipua Mbowe

Uchafu huu....anatia kinyaa huyu binti..
 
Hizo kelele ni za muda tuu.utakapofulia utaanza kuwapikia chai na kuwatandikia vitanda hao wanaokutuma leo.
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

We had a president who has never been a secondary school student. Halafu kuna mtu anamuona Juliana Shonza - remember she is a graduate so she should know about this - kuwa ni asset kwa chama!!!!!!!!

Btw: Wewe mleta maada hii ya kijinga kabisa, muulize huyo kilaza shonza: Anajua elimu ya John Major? Kama hata anajua John Major ni nani au ni nini!
 
Huyu Juliana naona yuko mwezini......CCM mpaka sasa hawajampa hela ya pedi naona kaamua kuropoka haonekane apewe hela ya pedi...Mama imekula kwako na suburi miezi ijayo utakoma


Yuko wapi Nakaaya Sumari?
Wamemtumia kama Pedi kisha wamemterekeza...
 
ina maana mtu akikuambia fulani kaua. na wewe unamuambia mbona fulani naye aliwahi kuua. kwanza thibitisha au kanusha madai ya kwamba fulani kaua. kaua kweli? siyo kutoa mfano kuwa mbona flani nae aliua juzi. tutumie ubongo kuliko kufuata matakwa ya nafsi zetu

Wewe ndio usiyejuwa namna ya kutumia ubongo.......huyu binti anataka kutuaminisha kuwa mtu wa FORM FOUR hawezi kuwa Rais wala Waziri Mkuu na mimi ninawapa mifano ya walio weza kuwa hivyo. Sasa hoja yako ipi na ni vipi ulinganishe na kuuwa? Kuongoza nchi kunaweza kulingana na kuuwa?.....plastic brains you got there!
 
Ok! Sasa tuambie na madhara hasi ya mbowe na form four yake, halafu utuambie na mafanikio ya doctorate a gamba mkuu (jk)! Mwisho uniambie ni msomi gani ccm mwenyewe uchungu kwa watz kumzidi dj Mbowe!
 
Hii tabia ya huyu mtoto kutafuta popularity at any cost itamcost vibaya. Walio karibu naye wamsaidie mapema.
 
Mzee Kawawa alikuwa na elimu gani wakati wa utawala wake? Au Shonza alikuwa bado hajazaliwa!
Kwa wakati ule elimu ya mzee kawawa ilitosha sio sasa wakati wa digitali ndugu yangu.
Mbowe kinachomfanya awe kiongozi wa chadema ni hela za urithi tu. Sio self made na makamanda wanamuweka pale kwa sababu wana njaa
 
Ujinga wa hawa PIMBI wa MaCCM ni kutotambua kuwa "leadership is not a profession bali ni function"

Hawa kuku wanadhani wanajuwa siasa kuliko kina Mbowe.....

Ama kwa hakika johari za mtu ni mbili akili na haya!!
 
Hahaha! Binti anajazba baada ya kutimuliwa CDM kama mbwa mwizi.
Nashukuru Mungu mmesadiki kuwa Dr. Slaa ndiyo rais ajaye.

NB:
CONDOM moja ni kwa kila tendo moja tu, sasa baada ya tendo hili matumizi yenu yatakuwa yameisha na tutawamis sana wasaliti.

Mkuu nimeipenda sana hii
 
Huyu binti ni mtumbafu sana...ww Juliana kazi yako inajulikana ni kuwatandikia vitanda hao akina Nape muwapo ziarani...sasa tangu lini house girl akawa na kelele kuwazidi wenye mji..??? Tumbafu yako Juliana
 
Kwa wakati ule elimu ya mzee kawawa ilitosha sio sasa wakati wa digitali ndugu yangu.
Mbowe kinachomfanya awe kiongozi wa chadema ni hela za urithi tu. Sio self made na makamanda wanamuweka pale kwa sababu wana njaa
Mkuu wewe una elimu gani?

Halafu wewe jamaa huwa unadhani una hela sana! Na akili sana? Na ni kiongozi wa kutumainiwa?
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Shule gani inatoa taaluma ya UDJ elimu ya sekondari?
 
Ndani ya CCM, kuna wasomi wengi na hawajafanya lolote, pia kuna std seven mf mb wa Rorya anafanya mengi mazuri kwenye jimbo lake ambalo before lilikuwa chini ya prof maarufu na dr bingwa wa mifupa lakini enzi zake na position kibao za uwaziri lakini hakuna kitu amefanya. Huyo mtoto anasumbuliwa na umasikini/njaa tu, tusubiri 2015 ataficha wapi masikio yake. Hapo alipo ni njaa kali, na kazi ya kueleweka hana, na sijui kama anaijua vema professional yake na zaidi ni binti mdogo 2 asiye na mume, so CCM ikifa soon kuanzia 2014 mwishoni atauza hadi nguo. yeye ni cheap graduate/ kibaraka maana najua huyo hajawahi kuwa mwanachadema wa ukweli ila tu alipelekwa na hao mabwana zake kwa sababu zao binafsi na kabla hajamaliza shughuri aliyotumwa akagundurika. wapo wengi kama yeye katika vyama vyote makini vya upinzani na wataendelea kuumbuliwa na wapo kila kona ya nchi kwa ngazi zote za chama hasa sehemu zenye upinzani imara.

Shonza elimu yake haijamsaidia hata kidogo kwa mtazamo wa jamii yenye nafsi zilizo hai, ila kwa vipofu wenzake ndani ya CCM yeye kwao ni mtu mhimu ndio maana wanamuona kama mfalme. Maneno anayotoa ni ya wale ambao tayari wamekwisha firisika kazi/mawazo ya kisiasa na sasa wanalazimisha kujihalalisha kwa siasa za maji taka ambazo hazina mashiko mahara popote.
 
Na Elimu ya Kikwete ya Udaktari ina faida gani kwa Tanzania?....au kuchomeka kwa makanisa ndiyo ufanisi?
JK ana elimu ya udaktari? Udaktari gani huo? Wa falsafa (PhD)? Wa utabibu (MD) au wa tunguri? Ninajua alisoma bachelor ya uchumi pale UDSM akatoka na pass!
 
Huyu kahaba wa kisiasa kabla hajatoa huo ushuzi wake mdomoni ilitakiwa ajiulize imekuwaje mbowe mwenye elimu ya kidato cha nne(kama anavyodai) ameweza kuongoza CHADEMA na kuwa chama imara cha upinzani kinachoipa jambajamba chama tawala ccm ilhali kuna chama cha cuf kinachoongozwa na profesa na kimezidiwa kete!! hapo ndipo atakapojua kuwa uongozi ni uwezo na si elimu ya kwenye vyeti!! mtu akiwa na phd ya fani fulani si lazima awe kiongozi bora zaidi ya mtu mwenye elimu ndogo chini yake, hii ni mentality ya watu wenye stress za maisha kama shonza!! uongozi ni zaidi ya degree ni zaidi ya phd ni kipaji ni uwezo ni hekima na busara ni misimamo yenye uhakika!! after all mbowe has nothing to lose na elimu anayoisema shonza, he is financially well ana uhakika wa maisha na sio hawa maskini wa fikra na busara, shonza na mwampamba ambao wameamua kuuza utu wao na kugeuka kuwa lapdogs, big shame on them!!
 
Andry Nirina Rajoelina born 30 May 1974, is the President of the High Transitional Authority of Madagascar. He became president on 21 March 2009 during a political crisis, having held the office of Mayor of Antananarivo for one year prior. Before entering the political arena, Rajoelina launched several successful enterprises, most notably including a printing and advertising company called Injet in 1999 and the Viva radio and television networks in 2007. He began his career as an entrepreneur in his teenage years, first as a DJ at local clubs and parties, and later by organizing and promoting musical events in the capital.

mnapotoa mifano kama hii na kutaka kuwalinganisha viongozi wa siasa ili ku-counter argument wakati mwingine hamuwatendei haki viongozi wenu bila kufahamu. Una maana gani unapomlinganisha Mh. Mbowe na Kiongozi aliyeshika madaraka kwa kuipindua serikali iliyoko madarakani (Andry Nirina Rajoelina). Huu jamaa hakuchaguliwa na wananchi kama unavyotaka kutuaminisha na kwa sasa uongozi umemshinda na ameamua kuachia ngazi kwa pressure za wananchi.

kwa maono yako, kama aliyekuwa DJ aliweza kutawala na Mh. Mbowe ataweza pia. Utasemaje nikisema, kama huyu jamaa ameshindwa kutawala kwa vigezo hivyo, na Mh. Mbowe naye kuna uwezekano akashindwa vilevile.

Fikiria kabla ya kutenda. Ni angalizo tu.
Soma hii article:

Madagascar leader Andry Rajoelina opts out of presidential race

By RIVONALA RAZAFISON in Antananarivo | Wednesday, January 16 2013 at 09:12
RIVONALA RAZAFISON | NATION MEDIA GROUP

Madagascar's President Andry Rajoelina has finally caved in to huge international pressure and announced that he would not participate in presidential elections to be held in May this year, in an attempt to end the country's political crisis.

Mr Rajoelina, 36, who seized power in a March 2009 coup with the help of the army, made the announcement on Tuesday night in the capital Antananarivo.

"I will not be a candidate at the elections, I will sacrifice myself for the sake of the 20 million Malagasy," he said in a prime-time television address to the nation.

"I will manage the transition until the end and I am ready to make a democratic transition. I wish all the best to whoever will replace me," he said.

He has been facing both international and regional pressure from the Southern African Development Community (SADC), a 15-nation regional bloc that has been mediating the crisis to find a solution to the stalemate.

Donors cut off aid after he abandoned a power-sharing deal made in November.

Sanctions imposed by the African Union and the slowing of foreign investment have worsened the country's problems.

In December, French Foreign Affairs minister Laurent Fabius advised Mr Rajoelina to shelve his 2013 political bid and make a comeback in 2018.

Former president Marc Ravalomanana, who was ousted in the 2009 coup, also heeded calls by SADC not to run in the elections. He remains in South African exile.

The moves by Mr Rajoelina and Mr Ravalomanana to quit mean the May polls will open a new chapter in Madagascar's political landscape as the two have dominated the political scene for the last decade, their rivalry defining the island nation's politics.


Madagascar's President Andry Rajoelina inspecting a guard of honour in Tanzania last Friday. He finally bowed to pressure and announced that he will not participate in elections to be held in May this year.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    24.2 KB · Views: 51
Back
Top Bottom