Juliana Shonza amlipua Mbowe

Juliana Shonza amlipua Mbowe

Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

“..Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu..”
 
Angekua na akili badala ya kujadili elimu ya mbowe,Mnyika na wengineo angeanza kwa kujadili Elimu ya Taifa kwa ujumla inayoporomoka kila siku. Hivyo angekua ameisaidia sana CCM. Otherwise,she is just as gud as a piece of TO..ET paper, 2b thrown away after use not willing even to look at it.
 
Kwani kipindi Mbowe ni mwenyekiti wake alikua ana elimu ya chuo kikuu, mpaka leo ndo agundue kuwa ana elimu ya form 4?? Hana lolote huyo dada, yeye na elimu yake imemsaidia nini?

Ameenda kuungana na wasomi wenzake ili kubuni mbinu mpya na kisasa zaidi za kuboresha na kuimarisha ufisadi!
 
Jamani kuna msiba umetokea - msiba maana sina neno jingine la kuuelezea-.

Wanafunzi 93% + wamepata division 0 au 4. By some accounts up to 65% wamepata division 0.

Kama mtu anajali kweli formal education, atawezaje kung'ang'ania elimu ya mtu mmoja wakati tuna uozo ulio systemic unaoathiri malaki ya wahitimu kila mwaka?

Pure puppeteering and political palavering.

Dr Kikwete daily yupo safarini. Hana sababu ya kujua whats happening. Dr Kawambwa, kajitahidi sana, akapata angalau ziro na four93%. Naibu waziri si tuu kwamba hajui nchi zilizoungana kuleta Tanzania lakini hakujua kama mitihani imeanza! Hao ndio viongozi wetu. What do you expect! Kama Chadema wangekuwa makini, hii ni kete nyingine ya kuwaondoa CCM madarakani. Huwezi kufelisha zaidi ya 90% halafu ubakie madarakani. Maana yake watoto wao ndio wanatengenezewa njia ya kwenda chuo na kuja kututawala. this means maskini wataendelea kuwa maskini mana hata elimu haitawasaidia. CDM, mmepata kete nyingne, mshindwe nyie. Copy to John Mnyika, Molemo, Crashwise etc
 
Last edited by a moderator:
Mzee Kawawa alikuwa na elimu gani wakati wa utawala wake? Au Shonza alikuwa bado hajazaliwa!

kawawa elimu yake ilikuwa ndogo ndo maana kila aliloambiwa na Nyerere alitekeleza bila kufikiri! mfano, operesheni vijiji vya ujamaa! matokeo yake wananchi walihamishiwa vijijini kwa nguvu na kuliwa na Simba! ndio maana ni hatari kwa viongozi wenye elimu ndogo kama Mbowe kupewa madaraka!
 
ondoa ujinga wako hapa. usiturudishe enzi zile. huu ni ulimwengu mwengine. acha ushabiki wa kijinga

Mkuu scramble, mbona povu linakutoka hivyo! Me nimeomba wadau wanikumbushe...Nway, Na urais wa Jacob Zuma nao ni wa ulimwengu mwingine!? Akili za Mwenzako Changanya na Zako....
 
Kawawa amesoma makelele huwezi mpanga na dj

Hapo penye red, ni chuo gani hiki? Kipo nchi gani? East Africa nzima hakuna chuo kinaitwa makelele achilia mbali worldwide. Au mwenzetu ww ni victim wa kawambwa?
 
Inamaana huyu binti anataka kujaribu kukojoa akiwa kasimama badala ya kuchuchuma?
Naona nakusoma kwake hajaweza kutofautisha kati ya kuelimika na kusoma

Mbowe hajasoma bali ameelimika na kumsaidia huyu mchumia tumbo kuelimika ni kuyafahamu mazingira yako kwa undani.
CCM wamesoma ila hawajaelimika

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Inamaana huyu binti anataka kujaribu kukojoa akiwa kasimama badala ya kuchuchuma?
Naona nakusoma kwake hajaweza kutofautisha kati ya kuelimika na kusoma

Mbowe hajasoma bali ameelimika na kumsaidia huyu mchumia tumbo kuelimika ni kuyafahamu mazingira yako kwa undani.
CCM wamesoma ila hawajaelimika

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mbona wake za Kichaga na Kikuyu hukojoa wakisimama?
 
Juliana, taratibu mama.
Hii ni siasa, tena siasa ya CCM.
Maji bado ya moto, yatapoa!!!!!
 
Hasira za kuachika kumbe huwa mbayaeeee???!!!!!!!!!!!


Sikujua!!
 
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

Ndio ni FORM IV lakini hagombei URAIS... Mwenyekiti wa CHAMA sio lazima awe RAIS - Mfano Mzuri ni KENYA

ELIMU sio UPEO wa UONGOZI... CCM ya NYERERE ilikuwa na Wengi hawajasoma kama VILE KULI - MOSES NNAUYE; RASHID MFAUME KAWAWA lakini hawakuwa Wachotaji wa MALI za NCHI na kuzikimbiza NJE kama Hawa VIONGOZI wa SASA JULIANA SHONZA amewakimbilia... ina maana na yeye atapewa account USWISI nini???
 
Wahusika waliotajwa waje hapa wajibu hoja tuwasikie nao wanahoja gani juu ya tuhuma hizi
 
Mwenye namba zake anipe jamani,najua kinachomsumbua
 
Ni aibu sana mtu kutumika kama pad ya always au toilet paper ya chooni huku wewe hujui. Huyo ndie kiongozi mtarajiwa wa ccm.
 
Hii ndiyo Tanzania, vijana mnaojiita wasomi mnatia aibu maana kila mtu anatumikia tumbo, mmetugawa watanzania kwa dini, kwa ukanda, ukabila na mambo kede kede; yote hii inasababishwa na njaa. Njaa yenyewe imeingia kwenye fahamu zetu, sisi vilaza tulitegemea wasomi watukomboe lakini wamekuwa hawana tofauti na Akina Sultani Mangungo. Tunavuliwa nguo twakubali kisa kipande cha mkate
 
Back
Top Bottom