Na bado nini tena?Teh teh teh NA BADO,
Sidhani maana jana au juzi kalalamika hapa JF kuwa mshikaji wake wa zamani Ben Sanane amemsusa, kalalamika mpaka huruma.
Duh, natumaini mchumba wa Juli hatasoma hapa.
Kikubwa amshukuru Mungu ,sisi wengine Umri unaenda vijana wanaishia kututumia tu. Sijui itatokea lini kama ya mwenzetu. Hongera Sana Juliana Shonzaasa mnatakaje? mtu asipoolewa shida akiolewa shidaaa mmmmhhhh ila huyu khaaaaaa andamaneni basi
Teh teh teh NA BADO,
Kikubwa umshukuru Mungu ,sisi wengine Umri unaenda vijana wanaishia kututumia tu. Sijui itatokea lini kama ya mwenzetu. Hongera Sana Juliana Shonza
Kwa hiyo amejiandaaje kupokea mshebebe ?
sikatai lakini siyo kihivyo kaka