Acha unafikiKumbe ni Juliana shonza,nami nilikuwa hapo Kanisani riverside hosana life ministry siku ya Jumapili 13 July 2014 kwa mchungaji Mwansasu na nilimbeba kwenye kiti kama ulivyo utamaduni wetu
Hongera Dada ingawa harakati zako za kuisaliti Chadema zinanifanya nikuwazie kivingine.
Usije ukamsaliti mumeo david,kijana wetu msaarabu
Mhhh, hatari...!
Sijakuelewa please in relationship to the above topic
Hongera Juliana Shonza...kumbe ndo maana kelele zimepungua ee...Halafu mmmmh!!! mbona hujaniaga,? by the way tangu mwaka 2011 pale hall five...nimekumiss mwe.!! Nenda salama July jamaa namfahamu ni mpole sana..! Ngoja nikatoe umbea kwa Amin kwamba... July kimenuka 'siyo msela tena' hivyo tupite mbaliiiiii! au..................
mbona muoaji mwenyewe anaonekana mdogo kiumri ukilinganisha na muolewaji mtarajiwa........au ndiyo mambo ya ndoa haina uzee...............?????Afadhali kapata mume sasa, alikuwa hatulii kama vile kachanganyikiwa!
Nimeamini kutokuwa na mwenzi waweza kuwa hata Chizi.