Duh inaonyesha Roho inakuuma mkuu,pole weee
hata mumewe aSipite kabisa kwenyE huu uzi looool! Watu wana maneno wallahi, kha! :a s 109: :a s 109:duh, natumaini mchumba wa juli hatasoma hapa.
Husband Jamani yuko busy anasaka noti wala hana Muda wakuhangaika na hawa watoa povu huku,and he is soproud of me Binti wa Shonza.Huyo mme mtarajiwa sijui anajisikiaje akisoma hizi comments, regardless ni kweli ama uongo lazima atakuwa disappointed!
jamaa namuonea huruma sana
Nami nilijiuliza ni nani huyu?! Kwa maana hiyo hii ni new technic ya ku recruit wanachama
Ila kuna wanaume wa roho ngumu!
Huyo mme mtarajiwa sijui anajisikiaje akisoma hizi comments, regardless ni kweli ama uongo lazima atakuwa disappointed!
Teh teh teh NA BADO,
Afadhali kapata mume sasa, alikuwa hatulii kama vile kachanganyikiwa!
Nimeamini kutokuwa na mwenzi waweza kuwa hata Chizi.
teh teh teh na bado,
Ule ulopokaji wa kwenye siasa asipeleke kwa mumewe.
Nadhani sasa ataacha kukashfu ndoa za wenzie.